Kwanini Watu waliozaliwa na kukulia Kijijini wakija Mjini inakuwa rahisi kwa wao kufanikiwa kimaisha kuliko wale waliozaliwa na kukulia Mjini?

Kwanini Watu waliozaliwa na kukulia Kijijini wakija Mjini inakuwa rahisi kwa wao kufanikiwa kimaisha kuliko wale waliozaliwa na kukulia Mjini?

Hello JF

Nimekuwa nikiona watu wengi waliozaliwa vijijini na kuja mjini kutafuta maisha,wengi wao huwa wanafanikiwa sana kimaisha. Mfano angalia watu kama akina Magufuli, Nyerere, Zitto kabwe, Reginald Mengi, Mkapa, Gachuma na wengine wengi tu

Literally walikuja mjini wakiwa tayari ni vijana wakubwa lakini wamekuwa ni watu waliofanikiwa katika maeneo yao waliyoyatumikia tofauti na watu wengi waliozaliwa maeneo ya Mjini ambao wengi wao tunaona wanashinda vijiweni tu na kujisifia kuwa wao ni born town.

Tatizo ni nini?
Wakuja akija town lazima apambane maana hana wa kumtegemea zaidi yake mwenyewe

Starehe nyingi hawazijui

Hawachagui kazi wao
 
Back
Top Bottom