Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukusema umefanya utafiti bali ANDIKO lako lina sura ya utafiti maana umeshatoa hukumu (conclusion)Wapi nimesema kuwa nimefanya utafiti?nilichokisema ni observations zangu tu.
Utafiti wako si yakinifu wapo pia waokulia mjini wakafanikiwa mfano Mo ..kufanikiwa hakuitaji mjini Au kijijini kunaitaji uthubutu na kuwa karibu na watu wenye kukuonesha njia ya mafanikio” ndio wanaita connection”
Hukusema umefanya utafiti bali ANDIKO lako lina sura ya utafiti maana umeshatoa hukumu (conclusion)
Mkuu, hii mada yako ni ya kibaguzi sana kwa maana hao wa kijijini umewataja majina ila wale wa mjini umekataa kabisa kututajina majina ya mfano.tofauti na watu wengi waliozaliwa maeneo ya Mjini ambao wengi wao tunaona wanashinda vijiweni tu na kujisifia kuwa wao ni born town.
Tatizo ni nini?
Utafiti wako si yakinifu wapo pia waokulia mjini wakafanikiwa mfano Mo ..kufanikiwa hakuitaji mjini Au kijijini kunaitaji uthubutu na kuwa karibu na watu wenye kukuonesha njia ya mafanikio” ndio wanaita connection”
Mkuu, walikuja kutafuta maisha una maana gani? Kwani maisha yalipotea?Hello JF
Nimekuwa nikiona watu wengi waliozaliwa vijijini na kuja mjini kutafuta maisha
Mo si kazaliwa Singida!
Watu waliokuona tangu ukiwa mdogo hawawezi kukuona unafanikiwa na kuwazidi
Ndo maana wanasema Nabii hakubaliki kwao
Lazima utoke kwenu uende kwingine ufanikiwe..
Unakwepa wachawi wanaokujua..
Ugenini ni ni rahisi hakuna anaejua plans zako
Mkuu, ebu usitudanganye huyo Mo ameikuta pesa ya urithiUtafiti wako si yakinifu wapo pia waokulia mjini wakafanikiwa mfano Mo ..kufanikiwa hakuitaji mjini Au kijijini kunaitaji uthubutu na kuwa karibu na watu wenye kukuonesha njia ya mafanikio” ndio wanaita connection”
Utafiti wako umethibitishwa na taasisi gani inayotambulika kitaifa na kimataifa? Hata DSM pia kuna vijiji. Maelezo yako hayatoshelezi kushawishi watu wajuao UTAFITI
MO hizo mali ni za urithi....usimfananishe na watu kama akina mzee Mengi ambao wameanza from scratch.
Watu wanaongelea hustlers we unaongelea warithi!??
Mkuu, ebu usitudanganye huyo Mo ameikuta pesa ya urithi
Inshu ya mo hapo haihusiani.huyo mali kaikuta,hao wengine ni from zero to hiroUtafiti wako si yakinifu wapo pia waokulia mjini wakafanikiwa mfano Mo ..kufanikiwa hakuitaji mjini Au kijijini kunaitaji uthubutu na kuwa karibu na watu wenye kukuonesha njia ya mafanikio” ndio wanaita connection”
Taja kijiji kimojawapo dsmUtafiti wako umethibitishwa na taasisi gani inayotambulika kitaifa na kimataifa? Hata DSM pia kuna vijiji. Maelezo yako hayatoshelezi kushawishi watu wajuao UTAFITI
We ndo hujamwwlewaUmeelewa mleta mada alichoandika?