Kwanini Watu waliozaliwa na kukulia Kijijini wakija Mjini inakuwa rahisi kwa wao kufanikiwa kimaisha kuliko wale waliozaliwa na kukulia Mjini?

MO hizo mali ni za urithi....usimfananishe na watu kama akina mzee Mengi ambao wameanza from scratch.

Vp kuhusu Bakhressa aliyezaliwa mjini?
 
Wapi nimesema kuwa nimefanya utafiti?nilichokisema ni observations zangu tu.
Hukusema umefanya utafiti bali ANDIKO lako lina sura ya utafiti maana umeshatoa hukumu (conclusion)
 
Utafiti wako si yakinifu wapo pia waokulia mjini wakafanikiwa mfano Mo ..kufanikiwa hakuitaji mjini Au kijijini kunaitaji uthubutu na kuwa karibu na watu wenye kukuonesha njia ya mafanikio” ndio wanaita connection”

Mo si kazaliwa Singida!
 
tofauti na watu wengi waliozaliwa maeneo ya Mjini ambao wengi wao tunaona wanashinda vijiweni tu na kujisifia kuwa wao ni born town.

Tatizo ni nini?
Mkuu, hii mada yako ni ya kibaguzi sana kwa maana hao wa kijijini umewataja majina ila wale wa mjini umekataa kabisa kututajina majina ya mfano.
 
Utafiti wako si yakinifu wapo pia waokulia mjini wakafanikiwa mfano Mo ..kufanikiwa hakuitaji mjini Au kijijini kunaitaji uthubutu na kuwa karibu na watu wenye kukuonesha njia ya mafanikio” ndio wanaita connection”

Due
 
Watu waliokuona tangu ukiwa mdogo hawawezi kukuona unafanikiwa na kuwazidi
Ndo maana wanasema Nabii hakubaliki kwao
Lazima utoke kwenu uende kwingine ufanikiwe..
Unakwepa wachawi wanaokujua..
Ugenini ni ni rahisi hakuna anaejua plans zako

Fact!
 
Utafiti wako si yakinifu wapo pia waokulia mjini wakafanikiwa mfano Mo ..kufanikiwa hakuitaji mjini Au kijijini kunaitaji uthubutu na kuwa karibu na watu wenye kukuonesha njia ya mafanikio” ndio wanaita connection”
Mkuu, ebu usitudanganye huyo Mo ameikuta pesa ya urithi
 
Utafiti wako umethibitishwa na taasisi gani inayotambulika kitaifa na kimataifa? Hata DSM pia kuna vijiji. Maelezo yako hayatoshelezi kushawishi watu wajuao UTAFITI

Dar Ni mkoa pekee Tanzania usiyo na Kijiji.

Kule Makumbusho ni sehemu ya starehee tu inaitwa Kijiji Cha Makumbusho.
 
MO hizo mali ni za urithi....usimfananishe na watu kama akina mzee Mengi ambao wameanza from scratch.

Kwa hiyo Mengi alifanikiwa kwa jitihada zake na siyo za mkewe Hayati Mercy??

Unajua mchango wa huyu mwanamke kwa utajiri wa Mengi?

Unajua ni kwanini mpaka Mercy anafariki, Mengi hakukubali kugawana mali?

Mercy angepata mgao mkubwa sana na utajiri wa Mengi ungepukutika.

Mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke jasiri
 
Dar Ni mkoa pekee Tanzania usiyo na Kijiji.

Kule Makumbusho ni sehemu ya starehee tu inaitwa Kijiji Cha Makumbusho.

Kwa taarifa yako dsm vijiji vipo vingi na umeme wa REA unahudumia vijiji hivyo. Nenda halmashauri upewe idadi ya vijiji husika vilivyopo halmashauri. Muwe mnauliza msivyovijua
 
Utafiti wako si yakinifu wapo pia waokulia mjini wakafanikiwa mfano Mo ..kufanikiwa hakuitaji mjini Au kijijini kunaitaji uthubutu na kuwa karibu na watu wenye kukuonesha njia ya mafanikio” ndio wanaita connection”
Inshu ya mo hapo haihusiani.huyo mali kaikuta,hao wengine ni from zero to hiro
 
Utafiti wako umethibitishwa na taasisi gani inayotambulika kitaifa na kimataifa? Hata DSM pia kuna vijiji. Maelezo yako hayatoshelezi kushawishi watu wajuao UTAFITI
Taja kijiji kimojawapo dsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…