binafsi hata kabeji huwa najiuliza ni nani alibuni kua ni mbogaChakula hata mifugo hawakitaki, ugali sio kabisa.....
Nimecheka sanaChakula hata mifugo hawakitaki, ugali sio kabisa.....
Bora tu iendelee kubaki nafasi ya kachumbari, haipendezi kuwa mboga....binafsi hata kabeji huwa najiuliza ni nani alibuni kua ni mboga
Nakumbuka pale galanosi lilikua linapikwa Bondo na kabeji aiseeBora tu iendelee kubaki nafasi ya kachumbari, haipendezi kuwa mboga....
Sio kwamba hatuli, tunakula ila mioyo imejikunja, yani ile basi tu......Unawasikiliza watu wa nyuma ya keyboard?