Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo wangu ulikuwa na hunger, ugali tena na maharage hauwezi kuwa menu kali 😂ugali mbona mtamu ukipata mboga nzuri?
nakumbuka shule waliluwa wananiita mr bean kwa jinsi nilivyokuwa nafakamia ugali maharage
na sijawahi tena kula ugali maharage mtamu kuliko ule wa pale tengeru boys sekondari
#ugalimenukali
Ugali wa mahindi ndio ttzo kubwa,mtama uwele mihogo ulezi wewe kula huo ndio ugali halisi.
Wadau habari ya Jioni,
kwani ugali una shida gani, mimi
nilijua ni hapa tu jamiiforum kumbe hata majumbani kwa watu.
Mimi ni mzanaki wa pale Kyabakari mbona kule kwetu tunakula ule ugali wa mtama na tupo fresh tu.
Tena ukila ugali wa mchanganyiko wa udaga na mtama alafu mboga yako ikawa kuku wa kienyeji jogoo ukalipika chuku chuku mbona tunakuwa tupo strong tu, kimwili na kiakili.
Watanzania tuachane na mambo ya kuzungu, Kama unapenda ugali basi dondosha comment yako kwa aina ya ugali unaopikwa kwenye kabila lako.
Nawasilisha;
Kwakweli hata mimi ugali utanisamehe tu,chakula gani kikipoa kinazidi kuwa kigumuMie nishajiapisha jinsi ugali ulivyonitesa shule hautakuja ukanyage kwangu hata nikiandikiwa na daktari
Mi mbona nasonga na chumvi na mafuta, hii ni baada ya kuzurura zurura nchi za kusini.Ndio msosi pekee duniani hautiwi chumvi .Ukijaribu tu kutia chumvi au mafuta hauivii .Si hatari hii😄😄
Sijaota ☺️Ugali dagaa mtindi na mlenda pembeni, alooooo....best combination ever! Ukitoka hapo kalale lazima utaota tuu. Jaribu hii usipoota njoo hapa unidai billion
Mpishi amepika mlenda mbichi, au ugali mbichiSijaota ☺️
Kinachoangaliwa katika chakula ni food value basi.
Wadau habari ya Jioni,
kwani ugali una shida gani, mimi
nilijua ni hapa tu jamiiforum kumbe hata majumbani kwa watu.
Mimi ni mzanaki wa pale Kyabakari mbona kule kwetu tunakula ule ugali wa mtama na tupo fresh tu.
Tena ukila ugali wa mchanganyiko wa udaga na mtama alafu mboga yako ikawa kuku wa kienyeji jogoo ukalipika chuku chuku mbona tunakuwa tupo strong tu, kimwili na kiakili.
Watanzania tuachane na mambo ya kuzungu, Kama unapenda ugali basi dondosha comment yako kwa aina ya ugali unaopikwa kwenye kabila lako.
Nawasilisha;
We umesemaMkuu ugali hasa wa dona na mboga safi ni mtamu sana
Na matundaHuwezi kumpata huko ni ngano ,nyama na samaki kwa kwenda mbele.
Vijana hawaelewi hawa.We umesema
Habari ya leo hio
Dona kwa dagaa, yummy
Unakula vyakula gani kwa Sasa?Nyumbani nimekula ugali saana, bado shule nikala ugali saana sasa najitegemea kwakweli ugali utanisamehe nishaula mno.
Mbwa ni carnivore, asili yake ni nyamaWanakula pale wanapokosa kabisa chakula wanachokipenda
Wali , viazi, chipsi, ndizi, mihogo, tambi nkUnakula vyakula gani kwa Sasa?