Kwanini watu wanachukia sana Ugali. Kwani ugali una kosa gani jamani?, Wanasayansi njoeni basi mtupe Elimu

Kwanini watu wanachukia sana Ugali. Kwani ugali una kosa gani jamani?, Wanasayansi njoeni basi mtupe Elimu

Ugali kama kuna namna ya kuukwepa huwa siwezi kuugusa hata kama ni miaka buku.
 
ugali mbona mtamu ukipata mboga nzuri?

nakumbuka shule waliluwa wananiita mr bean kwa jinsi nilivyokuwa nafakamia ugali maharage

na sijawahi tena kula ugali maharage mtamu kuliko ule wa pale tengeru boys sekondari

#ugalimenukali
Mdogo wangu ulikuwa na hunger, ugali tena na maharage hauwezi kuwa menu kali 😂
 
Wadau habari ya Jioni,

kwani ugali una shida gani, mimi
nilijua ni hapa tu jamiiforum kumbe hata majumbani kwa watu.

Mimi ni mzanaki wa pale Kyabakari mbona kule kwetu tunakula ule ugali wa mtama na tupo fresh tu.

Tena ukila ugali wa mchanganyiko wa udaga na mtama alafu mboga yako ikawa kuku wa kienyeji jogoo ukalipika chuku chuku mbona tunakuwa tupo strong tu, kimwili na kiakili.

Watanzania tuachane na mambo ya kuzungu, Kama unapenda ugali basi dondosha comment yako kwa aina ya ugali unaopikwa kwenye kabila lako.

Nawasilisha;
Ugali wa mahindi ndio ttzo kubwa,mtama uwele mihogo ulezi wewe kula huo ndio ugali halisi.
 
Hicho ndio chakula kinacholiwa na waafrika wote.
Nenda kusini, kaskazini, magharibi, mashariki chakula kikuu ndio hizo.

Na ndio maana waafrika matatizo yao yanafanana ya udumavu wa akili.
Hakuna ubunifu, hakuna uvumbizi wapo wapo tu na excuses chungu nzima na complaints.
Wazungu first class brain wabarikiwa wa Ulimwengu.
 
Mama akiwa Mjamzito anakula ugali, mtoto akishakuzaliwa analishwa uji na ugali .
Pana akili ya uvumbuzi/Igi dużo wa mambo makubwa ya kisayansi hapo.
Uwaambie Uchawi na ushirikina tu baasii.
 
Wadau habari ya Jioni,

kwani ugali una shida gani, mimi
nilijua ni hapa tu jamiiforum kumbe hata majumbani kwa watu.

Mimi ni mzanaki wa pale Kyabakari mbona kule kwetu tunakula ule ugali wa mtama na tupo fresh tu.

Tena ukila ugali wa mchanganyiko wa udaga na mtama alafu mboga yako ikawa kuku wa kienyeji jogoo ukalipika chuku chuku mbona tunakuwa tupo strong tu, kimwili na kiakili.

Watanzania tuachane na mambo ya kuzungu, Kama unapenda ugali basi dondosha comment yako kwa aina ya ugali unaopikwa kwenye kabila lako.

Nawasilisha;
Kinachoangaliwa katika chakula ni food value basi.

Kidogo ulivyosema ugali wa mtama na mhogo na ungetaja uwele na ulezi kidogo inaleta maana.

Lakini sembe la mahindi, kwa wenzetu ni chakula cha kudumu cha mifugo.

Na wakati wa utumwa, walilishwa mahindi/ugali wakihesabika kama wanyama.

Halafu sijui ni nani aliwatia watu ujinga, eti ugali wa dona ya mahindi una nguvu.

Nguvu inayosemwa hapo sijui nguvu ya nini, ama ni mazoea tu!

Product yoyote ya mahindi kamwe haiwezi kushinda food value kwa product itokanayo na ngano, uwele, mtama, mchele wala ulezi.

Mahindi ni chakula chenye thamani ya mwisho kabisa katika kundi la vyakula vya wanga.

Huo ugali wa mtama na mhogo wee gonga tu ni mzuri kwa afya.
 
Tuliambiwa ni bora ule ugali kwa mfululizo kwa mwaka, na sio kula wali...

One of the most famous food (rice) imepigwa na ugali
 
Ugali na Mkate mweupe vinaharibu Ubongo, hasa wa watoto wanaojenga akili na fikra
 
Attachments

  • 20241109_135001.jpg
    20241109_135001.jpg
    593.5 KB · Views: 6
Back
Top Bottom