Kwanini watu wanachukia sana Ugali. Kwani ugali una kosa gani jamani?, Wanasayansi njoeni basi mtupe Elimu

Ugali umedumaza sana akili za Watanzania na hiyo lishe ililetwa na Wakoloni..
Wadumavu wengi wanaamini ugali ni asili yao
 
Research yako uliifanyia wapi na lini mpaka ukaja na conclusion kwamba watu wengi wanauchukia ugali?.
 
Mna uonea tu ugaali, yani unakula ugali na kunde kwann usiuchukie, kula ugali na kitimoto, nyama ya foil, sato au kuku wa kuchoma, kuna dagaa mchele walio kaangwaa, au warji baridi wa mwanza kule sasa ugali. Sansa kweli??
 
ni basi tu, ila hiyo kitu siyo
hata watoto wanauchukia mno
 
Calories zilizomo kwenye ugali ni nyingi kuliko wanga mwingine wowote ule!

Kuukataa ugali ni ushamba was hali ya juu!

Wali hupunguza nguvu za kiume kabisa!

Ugali was mtama plus muhogo no Bora sana kiafya!
 
Wali hupunguza nguvu za kiume kabisa!
Mkuu,China inashika number one Duniani kwa kutumia wali "Rice" na population yao ni sawa na watu wote wa bara la Africa 1.4 B plus mpaka kukawa na sheria ya kuzaa mtoto mmoja tu,

India ni nchi number two Duniani kwa kula wali,
Population yao ni 1.4 B plus

Sasa sijui wao huu wali hua hauwapunguzii hizo nguvu za kiume!
 
Bao moja la kusababisha mimba hata tone TU la sekunde Tano linatosha!

Nguvu za kiume no neno Pana sana hata Resilience pia !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…