The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Research yako uliifanyia wapi na lini mpaka ukaja na conclusion kwamba watu wengi wanauchukia ugali?.
Wadau habari ya Jioni,
kwani ugali una shida gani, mimi
nilijua ni hapa tu jamiiforum kumbe hata majumbani kwa watu.
Mimi ni mzanaki wa pale Kyabakari mbona kule kwetu tunakula ule ugali wa mtama na tupo fresh tu.
Tena ukila ugali wa mchanganyiko wa udaga na mtama alafu mboga yako ikawa kuku wa kienyeji jogoo ukalipika chuku chuku mbona tunakuwa tupo strong tu, kimwili na kiakili.
Watanzania tuachane na mambo ya kuzungu, Kama unapenda ugali basi dondosha comment yako kwa aina ya ugali unaopikwa kwenye kabila lako.
Nawasilisha;
Huwezi kumpata huko ni ngano ,nyama na samaki kwa kwenda mbele.Nitajie mtume aliyekula ugali
Sisi wengine ugali ndio umetulea na maisha yanaendelea, kula wali Hadi sikukuu.Binafsi ikipita siku bila kula nguna sijisikii amani..hao wanaodharau nguna wao waendelee tu kuidharau..
ni basi tu, ila hiyo kitu siyo
Wadau habari ya Jioni,
kwani ugali una shida gani, mimi
nilijua ni hapa tu jamiiforum kumbe hata majumbani kwa watu.
Mimi ni mzanaki wa pale Kyabakari mbona kule kwetu tunakula ule ugali wa mtama na tupo fresh tu.
Tena ukila ugali wa mchanganyiko wa udaga na mtama alafu mboga yako ikawa kuku wa kienyeji jogoo ukalipika chuku chuku mbona tunakuwa tupo strong tu, kimwili na kiakili.
Watanzania tuachane na mambo ya kuzungu, Kama unapenda ugali basi dondosha comment yako kwa aina ya ugali unaopikwa kwenye kabila lako.
Nawasilisha;
Mkuu,China inashika number one Duniani kwa kutumia wali "Rice" na population yao ni sawa na watu wote wa bara la Africa 1.4 B plus mpaka kukawa na sheria ya kuzaa mtoto mmoja tu,Wali hupunguza nguvu za kiume kabisa!
Hahahaha umenikumbusha mbali Ugali unakata wiki kwenye kifungashio na bado ladha ipoKaribu tule ugali wa "Lowe"
Hata shemasi au imamu hayupo.Nitajie mtume aliyekula ugali
Bao moja la kusababisha mimba hata tone TU la sekunde Tano linatosha!Mkuu,China inashika number one Duniani kwa kutumia wali "Rice" na population yao ni sawa na watu wote wa bara la Africa 1.4 B plus mpaka kukawa na sheria ya kuzaa mtoto mmoja tu,
India ni nchi number two Duniani kwa kula wali,
Population yao ni 1.4 B plus
Sasa sijui wao huu wali hua hauwapunguzii hizo nguvu za kiume!
Ila ukubali na upande wa opposite pia wa hiyo hoja yako kua hata bao kumi pia zinaweza zisitie mimba.Bao moja la kusababisha mimba hata tone TU la sekunde Tano linatosha!
Nguvu za kiume no neno Pana sana hata Resilience pia !