Of the two party who is most safe?Mnaoa sio mafala na wasio oa pia nao sio mafala , kila mtu huwa na bahati yake .
Note; ndoa ni kama kamari Evelyn Salt
Hii inategemea sasa ila wengi walio oa naona kama wanapitia magumu zaidi🤔Of the two party who is most safe?
magumu kama yapi tena? omba upate mtu sahihi tuHii inategemea sasa ila wengi walio oa naona kama wanapitia magumu zaidi🤔
Kuna mzee mmoja alishawahi niambia kabla ya kuoa kwanza mchunguze mama yake na binti anaishi vipi na mume wake , yani alikua anasema kwa kifupi kabla ya kumwoa binti muoe kwanza mama yake🤔🤔🤔🤔🤔Tatizo black Americans na waafrika wengi ulaya walipaparika sana kuoa wazungu,mwisho wa siku ni kupigwa matukio na kufilisiwa.
Kataa ndoa wa bongo wengi walikurupuka kuoa tako na muonekano wa nje huku tabia akijipa moyo watarekebishana ndoani
The answer is both, none and either depending on your point of view.Of the two party who is most safe?
Usipooa utaishia kwenye umalaya na uzinzi tu unless uniambie wewe ni TOWASHI! Ndoa zipo na watu wanaoa na zinadumu for years mpaka kifo kimchukue mmoja wao. Neno la Mungu linasema NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE. Ni heri kuoa kuliko kuwaka tamaa.Kwahiyo we unafanya kitu kwa kuangalia wengine wanafanyaje ama
Mwanamke hanachukia ndoa baada ya kikosa ndoa au kumshida kwa makosa yake mwenyewe ila ndoa ni faida kubwa kwa wanawake.Hata wanawake wenyewe wamekuwa wakichukia ndoa hasa wale waliowahi kuolewa na wakaachika. Ndoa zimekuwa kizingimkuti maadili yake yameporomoka balaa
The problem of these days people are no longer fearing of The God Almighty. Marriage is a must according to God. Ndo maana Mungu aliwaumba mtu mme na mtu mke( Adamu na Hawa)Hiyo ndo ilikuwa ndoa ya kwanza duniani na Mungu akaibarikia. Usipooa au kuolewa unafanya kinyume cha mapenzi ya Mungu.Mungu hakuwa mpumbavu kuweka demarcation ya responsibilities kati ya mwanaume na mwanamke.
Mume akifanya majukumu yake, na mke akifanya majukumu yake, hakika ndoa inakuwa tamu sana kwa wote wawili.
Huu muingiliano wa majukumu kwenye ndoa siku hizi ndio unafanya ndoa zionekane hazina thamani tena.
Kwa sababu kama mume anaona anaweza kufanya majukumu ya mke, na mke anaweza kuhandle majukumu ya mume, so whats the point of marriage?