Kwanini watu wanaochukia ndoa wanaongezeka kila kukicha, sisi tunaoendelea kuoa ni fala au?

"The worse prison in the world is a home without peace, be very careful who you get married or fall in love with."
Johnny Depp
 
Hii ni ishara kujiridhisha, Tomaso hakuwa Mjinga!
 
Ni kweli kabisa..

Sasa vijana wa sasa wanakuambia ndoa ni mzigo...

Lakini as a man, hivi unawezaje kuishi bila mke? Unawezaje kuishi bila watoto?

Hivi kuna raha hapa duniani kama ile ya unatoka utokako unarudi home unapokelewa na wanao na mkeo?

Hiki kizazi cha sasa kuna kitu kinamiss hakika.
 
Kuna mzee mmoja alishawahi niambia kabla ya kuoa kwanza mchunguze mama yake na binti anaishi vipi na mume wake , yani alikua anasema kwa kifupi kabla ya kumwoa binti muoe kwanza mama yake[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kama binti ni yatima utachunguza kipi?
 
Kabla ya kuwa na hiyo so called ndoa hizo raha ulikuwa unazipataje?
 
Kosa pesa kama hiyo raha utaiona , mwanamke sio ndugu yako kukuonea huruma kama huna kinacho mfaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…