Kwanini watu wanaochukia ndoa wanaongezeka kila kukicha, sisi tunaoendelea kuoa ni fala au?

Mnaoa sio mafala na wasio oa pia nao sio mafala , kila mtu huwa na bahati yake .

Note; ndoa ni kama kamari Evelyn Salt
Not only ndoa ni Kama Kila kitu ni is all about kamari whether you accept or not. Nothing is sure in this planet. Life is full of uncertainties so we've to do a calculated gambling what happened in case things go out of my expectations/bets
 
Mkuu sikupingi, ila nikija kwenye mzani ,wote tunajua idadi ya wanawake ni kubwa compare to wanaume, bado hapo hatujanzungumzia ma gay n.k, sasa kila mwanaume angeoa mke mmoja au kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja, huoni kama bado kuna idadi kubwa ya wanawake wangekua wanasugua bench huko mtaa
 
Waolewaji wenyewe tunaowaona huku mtaani ni majanga maana sio kwa mavazi wanayoyavaa. Hivyo visuruali sasa. Lugha wanazotumia, ujuaji na tamaa ya pesa wanatanguliza mbele. Ni kweli tunaishia kuwatamani tu for a single night

Ila ndoa
 
wewe ni kimwenje tu ngoja nikupuuze
 
Why keep a cow if you can buy a cup of milk
 
Kuna mzee mmoja alishawahi niambia kabla ya kuoa kwanza mchunguze mama yake na binti anaishi vipi na mume wake , yani alikua anasema kwa kifupi kabla ya kumwoa binti muoe kwanza mama yake🤔🤔🤔🤔🤔
Kuna uhalisia hapa kwa 90%.
 
True mkuu mtu ambaye anakataa ndoa sio muda wa kawaida.
 
Shida kupididdy!
 
Alifanya mapenzi kama fashion ya kupatia mashabiki na likes.

Hizi ndoa za kina Shilole, Nikki, et al
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…