Kwanini watu wanaochukia ndoa wanaongezeka kila kukicha, sisi tunaoendelea kuoa ni fala au?

Ndoa ni kitu kizuri saana

tena ndoa hututengenezea kizazi kilichostarabika maana watoto wanapokea malezi ya pande zote mbili
Omba Mungu akupe mtu sahihi anayejua thamani ya uwepo wako kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…