[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenivunja mbavu hapaNapendaga tu kuangalia wanaoendesha magari mazuri. Sasa kuna siku kimbelembele changu hiki wakati navuka barabara kukawa na Prado kali nikaisimamisha nivuke. Ile kumuangalia driver nusu nianguke barabarani. Alikua kavaa ninja na katia kinyago kwa juu. Nilihisi nimekutana na jambazi. Ila hiyo tabia sijaacha. Nikiona vigari vya kawaida wala siangalii ila haya mazuri naangalia tu nasema one day yes
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ile issue ya keram? Umeipotezea mazimaMi nikiona range rover au bmw lazima niangalie gari na anaendesha anafanana nalo?wakati hata baiskeli sina [emoji23][emoji23][emoji23]
Sipati picha ulivyoshtuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Woga wako ndio umaskini wako
Pole sana mkuu, cha muhimu uhai tuIla kwa sasa hali ni mbaya sana, yani mimi gari langu natumia kwenda ofisin mara mbili tu kwa mwezi, siku nyingine zote niko kwenye kupangwa mistari miwili na kaka kondakta
Mwenye uhitaji aje nimuuzie hili gari aisee
Mtu wangu habari za asubuhi. Nimemis kuchati na wewe ila tatizo nikichati na wewe tu najenga hema sanaaaSiwezi kuomba lift maishaa. Basi tu alinitisha kaka dereva. Ngoja niendelee kupambana tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisa likweram keendraa mme wangu ataninunuliaWoga wako ndio umaskini wako
Hahah wewe wa kanda maalum?Ni hulka ya binadamu.
Mimi nikiwa kwenye basikeli nikiwa napeleka mayai mjini naangalia sana waliopo kwenye madala dala
Nitakupa mbili. Moja inaconnection ya umeme na taa za rangi rangi.
Mnatupa wakt mgumu tulio kwenye madaladala na wake zetu tunaonekana si lolote si chochote
G wangu ataninunuliaNitakupa mbili. Moja inaconnection ya umeme na taa za rangi rangi.
Mimi si nakupa bureeee kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnatupa wakt mgumu tulio kwenye madaladala na wake zetu tunaonekana si lolote si chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili upewe liftNa kuangalia wanawake nje hasa aone tutako kwa nyuma au aone una kasura ka kueleweka kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app