Internal
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 3,579
- 3,919
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya.Habari za asubuhi nzuri mtu wangu. Basi usichat usiwe unajenga mahema
Sent using Jamii Forums mobile app
Vibonge tunapenda mazoezi lakini hadha tuipatayo..Mungu tu ndio anajuaHii yangu ni zaidi hadi nimevimba. Nimeanza kuchua jana ila bado. Nishafanya mazoezi aiseee sijawahi umwa week nzima hata magoti siwez kupiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Si aache gari nyumban apande na yeye daladalaAnakua amemis kupanda dala dala
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nawe ni kibongeVibonge tunapenda mazoezi lakini hadha tuipatayo..Mungu tu ndio anajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapicha ka uthibitisho
Nasubiria
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata kama uko kwenye tinted anatamani aone tu ndani kuna nani na nani na unafanya nini?[emoji15]Nyie wa daladala ndio mmezidi kutuchungulia sisi wa magari binafsi
[emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] sisi tunakua tumelazimishwa kuangalia uko na konda tunepangw hivo so usitulaumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata kama uko kwenye tinted anatamani aone tu ndani kuna nani na nani na anafanya nini?[emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama mmekaa kwenye siti mna hako katabia[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] sisi tunakua tumelazimishwa kuangalia uko na konda tunepangw hivo so usitulaumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukikaa tunaangalia nje ili tupate hewa mkuu si unajua tena kacosta kadogo tuko abiria 200+