Kwanini watu wanaogopa sana kuiba umeme wa TANESCO kuliko maji ya DAWASCO?

Umeme unahitaji ufundi na utundu mwingi. Vilevile changamoto nyingine ni urefu wa nguzo au juu ukutani.

Ukianza utundu(wizi)kila mtu anakuona mubashar.

Halafu,umeme ni moto ule.Ukileta maskhara unakufa au kupata majeraha au ulemavu.

Tofauti na maji ambapo miundombinu ipo ardhini.Ukianza wizi wako wachache wataweza kugundua.

Unaunganisha kwa ulaini huku umeshika jembe kama upo bustanini.

Swali lingine,mwizi mwenzetu.
 
Umeme unahitaji ufundi na utundu mwingi.Vilevile changamoto nyingine ni urefu wa nguzo au juu ukutani.Ukianza utundu(wizi)kila mtu anakuona mubashar.Halafu,umeme ni moto ule.Ukileta maskhara unakufa au kupata majeraha au ulemavu.Tofauti na maji ambapo miundombinu ipo ardhini.Ukianza wizi wako wachache wataweza kugundua.Unaunganisha kwa ulaini huku umeshika jembe kama upo bustanini.Swali lingine,mwizi mwenzetu.
Umemaliza
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Hana swali mwizi mwenzetu Sasa tuingie kazini leo wapi mwizi mkuu..??
 
Back
Top Bottom