Nishawapiga sana,enzi zile luku za kadi kupunch
Alafu kna moja nlijiunganishia umeme wa mazabe,direct....ilibid nkimbie nyumba maana pira +tanesco muda wote walikuwa wanantimbia
Ttcl nao nna visa vyao...
Kwa kifupi jamaa wakikugumia utaishi kwa shida sana