Kwanini watu wanaogopa sana kuiba umeme wa TANESCO kuliko maji ya DAWASCO?

Kuna jamaa yangu alikuwa na ubunifu wa ajabu yeye alikuwa anapachika kifaa kwenye mita mita yenyewe inachanganyikiwa basi ni free data, et data free tanesko, na watanesko walimpa ofa kwa ulipaji mzuri kumbe anawapiga kuna mwingine ndio anatumia mpaka saiz amefunga na mota za mashine kabisa mwaka wa sita sasa na sijui kama watamdaka bila. Ya mm kusema TANESCO, watu wabunifu bwana
 
Hakuna robot anayeweza kujibu kama tunavyojibu, tunawasihi kudhamini na kujali kazi nzuri tunayofanya.Tumekuwa active muda wote kitu ambacho wapo wanaona mafanufaa ya sisi kuwa hapa.
Sawa mkuu[emoji120][emoji120] sikujua hilo

nitakuja pm nimfichue jamaa yangu ila iwe siri sio niwatajia mseme kasema fulani maana. Ni mtu mzito lolote laweza tokea
 
Acha usnich Arif,
Ngoja na wewe tukakusemee Kwa Joyce Banda Lile deal lako Haram ulilopiga enzi zile kule mzuzu
Eboooo!
(Joking)
😂😂😂😂🔥
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hana swali mwizi mwenzetu Sasa tuingie kazini leo wapi mwizi mkuu..??
Oyaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeme unahitaji ufundi na utundu mwingi. Vilevile changamoto nyingine ni urefu wa nguzo au juu ukutani.

Ukianza utundu(wizi)kila mtu anakuona mubashar.

Halafu,umeme ni moto ule.Ukileta maskhara unakufa au kupata majeraha au ulemavu.

Tofauti na maji ambapo miundombinu ipo ardhini.Ukianza wizi wako wachache wataweza kugundua.

Unaunganisha kwa ulaini huku umeshika jembe kama upo bustanini.

Swali lingine,mwizi mwenzetu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzi uliishia hapa
 
Na walioiba wanakula maisha kiukweli.

By the way shoti ni rahisi kukuondoa kuliko bomba lililopasuka
 
Umeme unahitaji ufundi na utundu mwingi. Vilevile changamoto nyingine ni urefu wa nguzo au juu ukutani.

Ukianza utundu(wizi)kila mtu anakuona mubashar.

Halafu,umeme ni moto ule.Ukileta maskhara unakufa au kupata majeraha au ulemavu.

Tofauti na maji ambapo miundombinu ipo ardhini.Ukianza wizi wako wachache wataweza kugundua.

Unaunganisha kwa ulaini huku umeshika jembe kama upo bustanini.

Swali lingine,mwizi mwenzetu.
Mimi nilikuwa nakaa sehemu, tulikiwa tunaunganisha umeme directly. Haupiti kwenye LUKU.

Na watu kibao wanafanya haya manouver ila ni SIRI sana.
 
Back
Top Bottom