Mtu anaewaza na kutenda bila kuzingatia matokeo ya maamuzi na matendo yake kwa taasisi na jamii hawezi kuachwa aendelee kuwa kiongozi. Madhara yake ni makubwa kuwa na viongozi wa aina hii. Lazima wajiuzulu bila kupepesa macho Wala kupindisha maneno. Amesababisha hasara na usumbufu mkubwa sana kwa wadau wengi. Aachwe yeye nani?Bod ilichezs karata mbaya sana ktk hili.
Ukiwa na mtindio wa ubongo huwezi kuona ukubwa wa jambo lenyewe. Timu yetu ya taifa kule Morocco haikufanya mazoezi yake kwenye uwanja wa mechi kabla ya mechi ambayo timu yetu ilifungwa 0-2 tena ugenini kwenye uwanja mgeni ambao hawaujui kabisaaaaaa. Mbona Karia hakuamuru timu yetu igomee mechi kwakuwa hawakufanya mazoezi yao kwenye uwanja ule saa 4 usiku siku Moja kabla ya mechi? Je, Karia atapinga matokeo kwakuwa taifa stars haikupewa fursa ya kufanya mazoezi? Kanuni ya timu ngeni kufanya mazoezi haiko CAF?Hao watu wnaotaka ni kina nani...???
Au ni hao wazee wa Yanga waliojichokea maisha..???
Jinga kabisa
Nimeshangaa sana kugundua kumbe Try again naye ni member wa bodi ya Ligi!
Nakubaliana na wewe hii bodi ni ya hovyo sana.Bodi ya ligi lazima ijiuzulu kwasababu zifuatazo.
1. Ndani yao alikosekana mtu wa kunusa hatari za kijamii, kimpira, kiuchumi, na za kiusalama zitakazoambatana na kuahirisha mchezo ule. Kiongozi hana busara, akili ya kusimamia mpira na amani ya nchi. Kwake yeye ilikuwa liwalo na liwe haichezwi.
2. Waliarishisha mechi kwasababu ambazo ni nyepesi ambazo hazina tabia ya kuahirisha mpira kote duniani.
3. Waliahirisha mechi bila kutumia kanuni za ligi husika.
4. Waliahirisha ligi bila kushirikiana na mamlaka za kijinai kama polisi, takukuru na serikali ili kupata maoni yao.
5. Kuna malalamiko mengi dhidi yao kuhusu uendeshaji mbaya wa ligi. Kuna timu zinanyang'anywa wachezaji wao wenye mikataba halali kwa baraka za TFF.
6. Kutokana na uendeshaji mbaya ziko timu kwenye ligi ambazo zinaweza kushuka daraja kutokana uamuzi mbaya viwanjani na ratiba mbaya ya mechi zao. Timu nyingine zinacheza kwenye jua Kali na nyinge kwenye baridi Kali, nyingine zinapangiwa ratiba ngumu nyingine ratiba nyepesi, nyingine zinapewa penati nyingi zingine zinanyimwa penati zao makusudi na nyingine zinanyimwa hata magoli yao halali.
7. Timu nyingi hazina Imani na Bodi ya ligi/TFF.
Kucheza mpira chini ya uongozi ambao huna imani nao ni balaa. Wajiuzulu.
Ni hao hao, na aliyeanzisha thread hii!Hao watu wnaotaka ni kina nani...???
Au ni hao wazee wa Yanga waliojichokea maisha..???
Jinga kabisa
Ukitaka ku prove hii bodi ya ligi ni corrupted angalia hii game ya Tabora utd vs Kagera alafu jiulize ni vigezo vipi vilitumika kuufungia huu uwanja na vigezo vipi vimetumika kuufungulia wakati upo kama jaruba la magimbi?Bodi ya ligi lazima ijiuzulu kwasababu zifuatazo.
1. Ndani yao alikosekana mtu wa kunusa hatari za kijamii, kimpira, kiuchumi, na za kiusalama zitakazoambatana na kuahirisha mchezo ule. Kiongozi hana busara, akili ya kusimamia mpira na amani ya nchi. Kwake yeye ilikuwa liwalo na liwe haichezwi.
2. Waliarishisha mechi kwasababu ambazo ni nyepesi ambazo hazina tabia ya kuahirisha mpira kote duniani.
3. Waliahirisha mechi bila kutumia kanuni za ligi husika.
4. Waliahirisha ligi bila kushirikiana na mamlaka za kijinai kama polisi, takukuru na serikali ili kupata maoni yao.
5. Kuna malalamiko mengi dhidi yao kuhusu uendeshaji mbaya wa ligi. Kuna timu zinanyang'anywa wachezaji wao wenye mikataba halali kwa baraka za TFF.
6. Kutokana na uendeshaji mbaya ziko timu kwenye ligi ambazo zinaweza kushuka daraja kutokana uamuzi mbaya viwanjani na ratiba mbaya ya mechi zao. Timu nyingine zinacheza kwenye jua Kali na nyinge kwenye baridi Kali, nyingine zinapangiwa ratiba ngumu nyingine ratiba nyepesi, nyingine zinapewa penati nyingi zingine zinanyimwa penati zao makusudi na nyingine zinanyimwa hata magoli yao halali.
7. Timu nyingi hazina Imani na Bodi ya ligi/TFF.
Kucheza mpira chini ya uongozi ambao huna imani nao ni balaa. Wajiuzulu.
Simba wanadai walikaa nje ya uwanja kwa masaa 2 wamezuiwa kuingia uwanjani, je bodi ya ligi haikujulishwa kadhia hiyo? Kama hawakujulishwa ni kwanini Simba hawakuijulisha Bodi ili iseme neno mageti yafunguliwe?. Na kama walijulishwa walifanya nini ili mageti yafunguliwe?Nakubaliana na wewe hii bodi ni ya hovyo sana.
Siku Simba anazuiwa kufanya mazoezi, je hawakustahili kutoa neno usiku ule ule?
Kwa nini wamehusika kuchochea moto mgogoro huo kwa kuahirisha mechi?
Simba walikuwa tayari kushushwa daraja kwani nao wanasikitishwa na TFF kuchekelea tu mambo ya hovyo yanayorudisha soka nyuma.
Ushindi wa mipango na hujuma.Matumizi ya uchawi kuchekewa tu hadi kusababisha wachezaji wazuri kuumizwa kwa njia ya uchawi ili tu timu moja iwe bingwa wakati kimataifa inafanya hovyo.
Hata faida ya kusajili kwa pesa nyingi haionekani.
Kwani Bodi ya Ligi unaundwa na watu gani mkuu?Nimeshangaa sana kugundua kumbe Try again naye ni member wa bodi ya Ligi!