Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Kwasababu bodi ya ligi ni kama mabua, yaani wapo kama sanamu (figure heads), can be remote controlled, wanaongoza kwakutumia busara badala ya kanuniBodi ya ligi lazima ijiuzulu kwasababu zifuatazo.
1. Ndani yao alikosekana mtu wa kunusa hatari za kijamii, kimpira, kiuchumi, na za kiusalama zitakazoambatana na kuahirisha mchezo ule. Kiongozi hana busara, akili ya kusimamia mpira na amani ya nchi. Kwake yeye ilikuwa liwalo na liwe haichezwi.
2. Waliarishisha mechi kwasababu ambazo ni nyepesi ambazo hazina tabia ya kuahirisha mpira kote duniani.
3. Waliahirisha mechi bila kutumia kanuni za ligi husika.
4. Waliahirisha ligi bila kushirikiana na mamlaka za kijinai kama polisi, takukuru na serikali ili kupata maoni yao.
5. Kuna malalamiko mengi dhidi yao kuhusu uendeshaji mbaya wa ligi. Kuna timu zinanyang'anywa wachezaji wao wenye mikataba halali kwa baraka za TFF.
6. Kutokana na uendeshaji mbaya ziko timu kwenye ligi ambazo zinaweza kushuka daraja kutokana uamuzi mbaya viwanjani na ratiba mbaya ya mechi zao. Timu nyingine zinacheza kwenye jua Kali na nyinge kwenye baridi Kali, nyingine zinapangiwa ratiba ngumu nyingine ratiba nyepesi, nyingine zinapewa penati nyingi zingine zinanyimwa penati zao makusudi na nyingine zinanyimwa hata magoli yao halali.
7. Timu nyingi hazina Imani na Bodi ya ligi/TFF. Kama waziri akizishirikisha timu zote za ligi na kuzihoji ni uhakika 98% ya timu zitasema hazina Imani na usimamizi na uendeshaji wa ligi yao.
Kucheza mpira chini ya uongozi ambao huna imani nao ni balaa. Wajiuzulu.
Hivi watu wa Yanga bado mnalizungumzia tu hili? Kwani limewauma sana eti?Bodi ya ligi lazima ijiuzulu kwasababu zifuatazo.

Hata mm Sina imani nao kwakweki. Ukweli huwezi kuwa na imani na watu ambao wanaweza kuahirisha mechi kubwa kama ya Simba na Yanga masaa 3 TU kabla ya muda wa mechi kuanza. Hawana akili Wala busara/hekima ya kujua usumbufu na hasara watakayoingia watu mbalimbali kama mechi itaahirishwa ghafla kwa kiasi kile. Hawana akili, busara, hekima, huruma wala utu.Kwasababu bodi ya ligi ni kama mabua, yaani wapo kama sanamu (figure heads), can be remote controlled, wanaongoza kwakutumia busara badala ya kanuni
Tangia tarehe 08-03-2025 Hadi leo tarehe 29-03-2025 wameshindwa kufanya maamuzi
Wapewe adhabu sitahiki na kama kwenye kanuni zao hakuna sehemu ya kuiwajibisha bodi ya ligi ama wasimamizi wa bodi basi kwenye hili liwe ni finzo kufanya hivyoHata mm Sina imani nao kwakweki. Ukweli huwezi kuwa na imani na watu ambao wanaweza kuahirisha mechi kubwa kama ya Simba na Yanga masaa 3 TU kabla ya muda wa mechi kuanza. Hawana akili Wala busara/hekima ya kujua usumbufu na hasara watakayoingia watu mbalimbali kama mechi itaahirishwa ghafla kwa kiasi kile. Hawana akili, busara, hekima, huruma wala utu.
Mambo yote ambayo Simba wameyalalamikia yangeweza kuchunguzwa baada ya mechi, na hatua kuchukuliwa ikiwemo Yanga kunyang'anywa points 3 hata kama ingeshinda mechi Ile.
Ukweli Bodi ya ligi waliisaidia Simba kuahirisha mechi sio kwa bahati mbaya. Lazima Bodi ya ligi iadhibiwe kabla ya mechi kurudiwa.
Hapa hakuna kusamehewa, ni ama wajiuzulu, wapelekwe mahakamani kwa hasara na usumbufu au walipe gharama zote za maandalizi ya mechiWapewe adhabu sitahiki na kama kwenye kanuni zao hakuna sehemu ya kuiwajibisha bodi ya ligi ama wasimamizi wa bodi basi kwenye hili liwe ni finzo kufanya hivyo
1.Hoja Yako ya kwanza bodi ya ligi ilihairisha mchezo kwa kufata maelezo ya Afisa Usalama wa mchezo ambaye kitaaluma ni askari polisi mwenye cheo Cha ISP bwana Hashim Abdallah ambaye aliona Yale yalio fanyika siku Moja kuelekea mchezo huo.Bodi ya ligi lazima ijiuzulu kwasababu zifuatazo.
1. Ndani yao alikosekana mtu wa kunusa hatari za kijamii, kimpira, kiuchumi, na za kiusalama zitakazoambatana na kuahirisha mchezo ule. Kiongozi hana busara, akili ya kusimamia mpira na amani ya nchi. Kwake yeye ilikuwa liwalo na liwe haichezwi.
2. Waliarishisha mechi kwasababu ambazo ni nyepesi ambazo hazina tabia ya kuahirisha mpira kote duniani.
3. Waliahirisha mechi bila kutumia kanuni za ligi husika.
4. Waliahirisha ligi bila kushirikiana na mamlaka za kijinai kama polisi, takukuru na serikali ili kupata maoni yao.
5. Kuna malalamiko mengi dhidi yao kuhusu uendeshaji mbaya wa ligi. Kuna timu zinanyang'anywa wachezaji wao wenye mikataba halali kwa baraka za TFF.
6. Kutokana na uendeshaji mbaya ziko timu kwenye ligi ambazo zinaweza kushuka daraja kutokana uamuzi mbaya viwanjani na ratiba mbaya ya mechi zao. Timu nyingine zinacheza kwenye jua Kali na nyinge kwenye baridi Kali, nyingine zinapangiwa ratiba ngumu nyingine ratiba nyepesi, nyingine zinapewa penati nyingi zingine zinanyimwa penati zao makusudi na nyingine zinanyimwa hata magoli yao halali.
7. Timu nyingi hazina Imani na Bodi ya ligi/TFF. Kama waziri akizishirikisha timu zote za ligi na kuzihoji ni uhakika 98% ya timu zitasema hazina Imani na usimamizi na uendeshaji wa ligi yao.
Kucheza mpira chini ya uongozi ambao huna imani nao ni balaa. Wajiuzulu.
Ukitakiwa kusema bodi ya ligi wamekea wapi na wapi kwa kuvunja kanuni zipiWapewe adhabu sitahiki na kama kwenye kanuni zao hakuna sehemu ya kuiwajibisha bodi ya ligi ama wasimamizi wa bodi basi kwenye hili liwe ni finzo kufanya hivyo
Duu ishu iliyofanyika tarehe 08-03-2025, Hadi leo tarehe 30-03-2025 hakuna majibu, kwa akili zako mgogolo kama huo unatakiwa utatuliwe kwa muda ganiUkitakiwa kusema bodi ya ligi wamekea wapi na wapi kwa kuvunja kanuni zipi
Hoja ya sababu za kiusalama haina mashiko kwakuwa ilitolewa siku moja kabla ya mchezo kitu ambacho inakinzana na kanuni ambayo ilipaswa waainishe siku ya mchezo kulikuwa na tishio gani la kiusalama ambalo vyombo vya usalama waliona hakuna namna nyingne tofauti na kughairisha mchezo.1.Hoja Yako ya kwanza bodi ya ligi ilihairisha mchezo kwa kufata maelezo ya Afisa Usalama wa mchezo ambaye kitaaluma ni askari polisi mwenye cheo Cha ISP bwana Hashim Abdallah ambaye aliona Yale yalio fanyika siku Moja kuelekea mchezo huo.
Kwenye barua ya bodi ya ligi Paragraph ya mwisho kabisa barua imesema ilipokea ripoti ya afisa usalama ambaye alionyesha Kuna mambo yanayo hitaji uchunguzi zaidi,hivyo bodi ligi walihairisha mchezo huo.
2.Umesema wamehairisha kwa hoja nyepesi ambazo hazipo duniani kote.
Duniani kote Kuna Sheria 17 ambazo Zina tungwa na IFAB ambazo FIFA Wana zitumia nankuzipeleka kwa mashrikisho yote duniani ikiwemo TFF.
Naomba utambue ukiondoa sheria 17 ambazo Zina fuatwa na mashirikisho yote mwanachama wa Fifa, tambua Kila shirikisho Lina KANUNI zake za kuendesha ligi Yao.
Kwaiyo kanuni za Tanzania za ligi zina weza zisifanane na ligi nyingine.
Mfano: Kanuni ya Hat trick ya Ujerumanj haifanani na mashrikisho mengi duniani.
Ujerumani hat trick ina hesabiwa baada ya magoli yote matatu kufungwa ndani ya kipindi kimoja cha mchezo.
Ukifunga goli Moja kipindi Cha kwanza alafu ukafunga magoli mawili kipindi Cha pili Ujerumani sio Hat Trick lakini kwenye nchi zingine Ina hesabika.
BODI YA LIGI imeharisha mchezo kwa kufata ripoti ya afisa usalama hivyo hoja ya msingi ni usalama.
3.Una sema hawakufata kanuni je umesoma barua ya bodi ya ligi ?
Paragraph ya mwisho bodi imesema imetumia kanuni ya 34....nenda kasoma ujielimishe kwanza.
4.Una sema walihairisha mchezobbila kishauriana na mamlaka nyingine ikiwemo polisi.
Nadhani una onyesha jinsi usivyo fahamu taratibu za mchezo wa Mpira wa miguu.
Iko hivi kabla ya mechi yoyote duniani iwe ya Fifa, CAF, UEFA au hizi za TFF na bodi ya ligi, mamlaka ya uendeshaji Ina teua waamuzi, GC ambaye ni kratibu wa mchezo, Kamishna wa mchezo huyu ndio mmiliki wa mchezo huo na ndio mwenye sauti ya mwisho juu ya mchezo husika, Afisa Usalama huyu ana Toka ndani ya jeshi la polisi ili kuja kushauri mambo yote ya usalama na kusimamia usalama akiwa mwajiliwa wa muda wa shirikisho husika.
Kwa Nini Shirikisho Lina takiwa kuteua afisa Usalama kutoka jeshi la polisi ? Jibu ni kwamba Polisi na mamlaka zingine hasitakiwi kuingilia Mpira wa mguu kimaamuzi !!! Hivyo Afisa Usalama anae teuliwa ana hesabika ni mwajiriwa wa muda wa TFF au Caf au UEFA hivyo Afisa huyu ndio ana toa ripoti ya kiusalama !!!
Bodi ya ligi ili pokea ripoti ya Afisa Usalama ambaye ndio mwenye dhamana ya usalama na kubainisha mambo kadhaa ya kiusalama.
Kimsingi bodi ya ligi ili imeshirikiana vyema kabisa na jeshi la polisi kupitia Afisa usalama.
5-6-7 hoja zako ugeweka na mifano kuliko hisia zako binafsi ili uwe mjadala wa wazi.
Hakuna kanuni itatungwa na shirikisho la nchi yoyote ambayo itapingana na zile za FIFA. FIFA inataka mpira uchezwe na maswala yanayoweza kuahirisha mechi yameorodheshwa, kuzuiwa kucheza mazoezi kwenye uwanja sio miongoni mwake. Nchi nzima na vitengo vyake vyote vilijiandaa kikamilifu kudumisha usalama wakati na baada ya mechi. Ni Nani kasema usalama hautakuwepo siku ya mechi, kwasababu gani? Ni aina ipi ya uvunjivu wa amani ulitarajiwa; kuvuja viti? maandamano? Kupigana? au aina ipi ya usalama ingekosekana?!Je, huyo afisa wa usalama imeitoa wapi taarifa ya uvunjivu wa usalama siku ya mechi;; IGP, FFU, usalama wa taifa, Muliro, au CDF?1.Hoja Yako ya kwanza bodi ya ligi ilihairisha mchezo kwa kufata maelezo ya Afisa Usalama wa mchezo ambaye kitaaluma ni askari polisi mwenye cheo Cha ISP bwana Hashim Abdallah ambaye aliona Yale yalio fanyika siku Moja kuelekea mchezo huo.
Kwenye barua ya bodi ya ligi Paragraph ya mwisho kabisa barua imesema ilipokea ripoti ya afisa usalama ambaye alionyesha Kuna mambo yanayo hitaji uchunguzi zaidi,hivyo bodi ligi walihairisha mchezo huo.
2.Umesema wamehairisha kwa hoja nyepesi ambazo hazipo duniani kote.
Duniani kote Kuna Sheria 17 ambazo Zina tungwa na IFAB ambazo FIFA Wana zitumia nankuzipeleka kwa mashrikisho yote duniani ikiwemo TFF.
Naomba utambue ukiondoa sheria 17 ambazo Zina fuatwa na mashirikisho yote mwanachama wa Fifa, tambua Kila shirikisho Lina KANUNI zake za kuendesha ligi Yao.
Kwaiyo kanuni za Tanzania za ligi zina weza zisifanane na ligi nyingine.
Mfano: Kanuni ya Hat trick ya Ujerumanj haifanani na mashrikisho mengi duniani.
Ujerumani hat trick ina hesabiwa baada ya magoli yote matatu kufungwa ndani ya kipindi kimoja cha mchezo.
Ukifunga goli Moja kipindi Cha kwanza alafu ukafunga magoli mawili kipindi Cha pili Ujerumani sio Hat Trick lakini kwenye nchi zingine Ina hesabika.
BODI YA LIGI imeharisha mchezo kwa kufata ripoti ya afisa usalama hivyo hoja ya msingi ni usalama.
3.Una sema hawakufata kanuni je umesoma barua ya bodi ya ligi ?
Paragraph ya mwisho bodi imesema imetumia kanuni ya 34....nenda kasoma ujielimishe kwanza.
4.Una sema walihairisha mchezobbila kishauriana na mamlaka nyingine ikiwemo polisi.
Nadhani una onyesha jinsi usivyo fahamu taratibu za mchezo wa Mpira wa miguu.
Iko hivi kabla ya mechi yoyote duniani iwe ya Fifa, CAF, UEFA au hizi za TFF na bodi ya ligi, mamlaka ya uendeshaji Ina teua waamuzi, GC ambaye ni kratibu wa mchezo, Kamishna wa mchezo huyu ndio mmiliki wa mchezo huo na ndio mwenye sauti ya mwisho juu ya mchezo husika, Afisa Usalama huyu ana Toka ndani ya jeshi la polisi ili kuja kushauri mambo yote ya usalama na kusimamia usalama akiwa mwajiliwa wa muda wa shirikisho husika.
Kwa Nini Shirikisho Lina takiwa kuteua afisa Usalama kutoka jeshi la polisi ? Jibu ni kwamba Polisi na mamlaka zingine hasitakiwi kuingilia Mpira wa mguu kimaamuzi !!! Hivyo Afisa Usalama anae teuliwa ana hesabika ni mwajiriwa wa muda wa TFF au Caf au UEFA hivyo Afisa huyu ndio ana toa ripoti ya kiusalama !!!
Bodi ya ligi ili pokea ripoti ya Afisa Usalama ambaye ndio mwenye dhamana ya usalama na kubainisha mambo kadhaa ya kiusalama.
Kimsingi bodi ya ligi ili imeshirikiana vyema kabisa na jeshi la polisi kupitia Afisa usalama.
5-6-7 hoja zako ugeweka na mifano kuliko hisia zako binafsi ili uwe mjadala wa wazi.
Zaidi ya kesi ya Morrison kuna kesi zipi zingine ambazo Yanga ameshindwa huko CAS? Unaposema Yanga anapigwa fine kila siku kwani Simba hapigwi fine? Au si nyinyi mliopitisha bakuli kuchangia fine ya kung'oa viti karibuni?Hyo point namba 5 ni lini mlienda CAS mkashinda kesi kila siku mnapigwa fine halafu unailamu TFF.
Zaidi ya kesi ya Morrison kuna kesi zipi zingine ambazo Yanga ameshindwa huko CAS? Unaposema Yanga anapigwa fine kila siku kwani Simba hapigwi fine? Au si nyinyi ml
Naomba nitajie hizo kanuni za fifa ili hoja yako iwe na mashiko.Hakuna kanuni itatungwa na shirikisho la nchi yoyote ambayo itapingana na zile za FIFA. FIFA inataka mpira uchezwe na maswala yanayoweza kuahirisha mechi yameorodheshwa, kuzuiwa kucheza mazoezi kwenye uwanja sio miongoni mwake. Nchi nzima na vitengo vyake vyote vilijiandaa kikamilifu kudumisha usalama wakati na baada ya mechi. Ni Nani kasema usalama hautakuwepo siku ya mechi, kwasababu gani? Ni aina ipi ya uvunjivu wa amani ulitarajiwa; kuvuja viti? maandamano? Kupigana? au aina ipi ya usalama ingekosekana?!Je, huyo afisa wa usalama imeitoa wapi taarifa ya uvunjivu wa usalama siku ya mechi;; IGP, FFU, usalama wa taifa, Muliro, au CDF?
Kuhairisha mchezo ilipaswa kuwa tukio la mwisho Kabisa tena baada ya kujiridhisha kwa kushirikisha vyombo vya usalama tena kwa mchezo mkubwa kama ule ilipaswa kiongozi mkubwa wa usalama auelezee umma nini kilitokea na hatua gani walichukua tofauti na hvyo ni vile tuu bodi ya ligi walilazimika kuhairisha mchezo kwakuwa tuu simba waligoma mana ata barua yao ya kuhairisha mechi walisema wamekaa kikao baada ya kupokea barua ya simba hilo linatosha kabisa kujua kuwa maamuzi yao yalisabishwa na simba kugomea mchezo
Wewe mwenyewe una sema unahisi maana yake hauna uhakika.Hii nchi ina watu wajinga sana Yani Mpira una jadiliwa hata na la Saba BUnajua wengi wanadhani ni bodi ya ligi ndio waliahirisha mechi, lakini nyuma ya pazia nahisi ni maamuzi ya viongozi wa Serikali una mkono kwenye hili.
Yani ina onyesha haujui lolote ila una andika kutaka kujua lakini una jitia ujuaji.Yani mtu akisoma maandiko yako ana ona ujinga wakoSimba wanadai walikaa nje ya uwanja kwa masaa 2 wamezuiwa kuingia uwanjani, je bodi ya ligi haikujulishwa kadhia hiyo? Kama hawakujulishwa ni kwanini Simba hawakuijulisha Bodi ili iseme neno mageti yafunguliwe?. Na kama walijulishwa walifanya nini ili mageti yafunguliwe?
Kwanini Simba walipambana wenyewe wafunguliwe wakati ligi ina wasimamizi na uwanja una una uongozi wake. Simba walidhamiria kugomea mchezo kwa kushirikiana na Bodi ya ligi/TFF.
Naomba nitajie hizo kanuni za fifa ili hoja yako iwe na mashiko.
Yani una andika kwa hisia zako binafsi hakuna FACT,DATA au RESEARCH wewe una toa maelezo tu.
Nimekuwekea kanuni ya bodi ya ligi ya 34 kifungu cha 3.
Wewe lete kanuni za Fifa,ili nione hoja yako kama ina mashiko
Duu ishu iliyofanyika tarehe 08-03-2025, Hadi leo tarehe 30-03-2025 hakuna majibu, kwa akili zako mgogolo kama huo unatakiwa utatuliwe kwa muda gani
Kumbuka kushindwa kutatua migogoro kwa wakati husababisha yasiyotarajiwa, bodi kama hizo nadhani zinakufurahisha sana
Soma kuhu
Acha kuweka hisia bila kuweka kanuni kama ni kosa !!! Mechi iliahairishwa kwa kufata kanuni ya 34 mchezo wowote ambayo una hairishwa kwa kanuni ya 34 kifungu kuanzia Cha moja mpaka tatu itapangiwa tarehe nyingine.Duu ishu iliyofanyika tarehe 08-03-2025, Hadi leo tarehe 30-03-2025 hakuna majibu, kwa akili zako mgogolo kama huo unatakiwa utatuliwe kwa muda gani
Kumbuka kushindwa kutatua migogoro kwa wakati husababisha yasiyotarajiwa, bodi kama hizo nadhani zinakufurahisha sana
Soma kuhusu: pessimistic people