Tomito Tomato
Senior Member
- Feb 11, 2017
- 167
- 444
Kautafiti kako kamekudanganya, kwann hukutafuta jibu huko huko unafikiri huku ndo kwenye watoto wenzio?Kautafiti kangu kadogo tu kamefanya niweze kugundua kuwa Binadamu wembamba huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wale wenzao wanene.
Je hali hii hutokana na nini?
Teh teh........Kautafiti kangu kadogo tu kamefanya niweze kugundua kuwa Binadamu wembamba huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wale wenzao wanene.
Je hali hii hutokana na nini?
Na wewe ni bonge?aha ha ahahhahahhahahhahahahahhahaha aaa haha acha uongo
bonge lenye akiliNa wewe ni bonge?
Hongera kwa kuwa Bonge mwenye akilibonge lenye akili
''unyanyasaji wa kimaumbile''....Kautafiti kangu kadogo tu kamefanya niweze kugundua kuwa Binadamu wembamba huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wale wenzao wanene.
Je hali hii hutokana na nini?
mkuu utafiti wako una walakini kidogoKautafiti kangu kadogo tu kamefanya niweze kugundua kuwa Binadamu wembamba huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wale wenzao wanene.
Je hali hii hutokana na nini?
Miss natafuta au..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaaah! Mbon kama Unamsema dada mmoja humu mwenye KG 94?
Hahahahaha.broo think twice,edit and repost it again