Kwanini watu wembamba huwa na akili kubwa kuliko wale wanene?

Kwanini watu wembamba huwa na akili kubwa kuliko wale wanene?

Watu wote walikuwa wembamba wanabadilika as time goes, kwa hiyo utafiti wako hauna mashiko
 
HR acha vituko mkuu, unaongelea in situ au? Anyway hujaprove bado kama mabonge wana myelin shealth kubwa kuliko wembamba. Halafu u talked about impulse transmission along the axon, what about neurotransmiters at the synapses? Kwa maneno mengine hii kitu iko far beyond theories, lots of things should be put into consideration. Nafikiri mtoa mada anaongelea mabonge wenye baadhi ya metabolic disorders zinazoaffect uwezo wa kiakili, lkn sio watu wote wanene ni vilaza
Yani hapa mkuu nilitaka kumaanisha ile wanavyosema too much is harmful ndio maana nikakutolea mfano wa temp against the rate of reactions kwamba ukiongeza temperature rate inaongezeka lakini ukiongeza zaidi kuliko kiwango kinachotakiwa hiyo reti inapungua au kusimama kabisa
 
Kautafiti kangu kadogo tu kamefanya niweze kugundua kuwa Binadamu wembamba huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wale wenzao wanene.

Je hali hii hutokana na nini?
Mfano mbunge wa geita cjui anaitwa nani yule, ana akili sana
 
Kautafiti kangu kadogo tu kamefanya niweze kugundua kuwa Binadamu wembamba huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wale wenzao wanene.

Je hali hii hutokana na nini?
Unamtafuta le mutuz bila Shaka!
 
Hahahaaha nadhan utakua mnene kwa hii post ilivyo
 
Tuliambiawa kati ya 4 mmoja ndio hazimtoshi. Je ni wanene au wembamba? Na tukatembelee mirembe tuone wakoje? Halafu kidole unachotumia kutuma ujumbe huu kwa kupitia simu ni kinene au kembamba?
 
Yani hapa mkuu nilitaka kumaanisha ile wanavyosema too much is harmful ndio maana nikakutolea mfano wa temp against the rate of reactions kwamba ukiongeza temperature rate inaongezeka lakini ukiongeza zaidi kuliko kiwango kinachotakiwa hiyo reti inapungua au kusimama kabisa
Nimekusoma mkuu HR triple 6, inaelekea zama zako ulikimbiza kemia na baiolojia.
 
mkuu utafiti wako una walakini kidogo

Watu wanene wana lipids nyingi ambazo zinasaidia kutengeneza myelin sheath

Hivyo basi taarifa (nerve impulses)zinakuwa zinapita kwa ku jump kwenye nodes of ranvier na kupelekea taarifa kufika haraka kwenye ubongo hivyo basi hata feedback inakuwa pia ni haraka na pia uwezo wa kufikiri kwa haraka na kutenda pia huwa ni haraka

Kwa watu wembamba zile nerve impulses zina move smoothly hivyo hupelekea taarifa kuchelewa kufika kwenye ubongo
Haya sasa mm nimetumia biology ku defend point yangu na wewe tetea yako kwa kutoa facts tuone
Sawa lakini ukimwangalia Bulembo mbona biology inaweza kuwa imepotea njia??
 
Mtu mnene anaweza akakonda na mtu mwembamba anaweza akanenepa any time,kwa hiyo na akili zao zitakua zinabadilika badilika kwa kufuata uzito/wepesi wa miili yao?!

Ni bora hata ungekua umefanya kautafiti ka kilimo cha vitunguu ungeongeza kitu maishani mwako kuliko huo utafiti wa kufikirika usiokua na evidence wala proof yeyote.
 
Mfano mzuri angalia mabilionea karibu wote ni wembamba.. Pia maraisi wa zile nchi tajiri pia...
 
Back
Top Bottom