Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo basi taarifa (nerve impulses)zinakuwa zinapita kwa ku jump kwenye nodes of ranvier na kupelekea taarifa kufika haraka kwenye ubongo hivyo basi hata feedback inakuwa pia ni haraka na pia uwezo wa kufikiri kwa haraka na kutenda pia huwa ni haraka
Kwa watu wembamba zile nerve impulses zina move smoothly hivyo hupelekea taarifa kuchelewa kufika kwenye ubongo
Haya sasa mm nimetumia biology ku defend point yangu na wewe tetea yako kwa kutoa facts tuone
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sbr aje hii vita sasa!!Miss natafuta au..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna bonge mwenye akili sababu kila mwenye akili bonge hushauliwa na wataalamu wenye akili kufanya mazoezi, diet nk ili apungue na kuwa mwembamba (mwenye akili).Kautafiti kangu kadogo tu kamefanya niweze kugundua kuwa Binadamu wembamba huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wale wenzao wanene.
Je hali hii hutokana na nini?
NYONGEZAKautafiti kangu kadogo tu kamefanya niweze kugundua kuwa Binadamu wembamba huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wale wenzao wanene.
Je hali hii hutokana na nini?
mbona maproffesa wengi ni vibonge??Kautafiti kangu kadogo tu kamefanya niweze kugundua kuwa Binadamu wembamba huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wale wenzao wanene.
Je hali hii hutokana na nini?