Kwanini watu wembamba huwa na akili kubwa kuliko wale wanene?

Kwanini watu wembamba huwa na akili kubwa kuliko wale wanene?

9f9e881c0e3dea23f7cafa39e1e64d6c.jpg
broo think twice,edit and repost it again
Hahahaha! Watu mna vituko!
 
Mkuu sipo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miss Chagga umefuraahi, kwani nawe mwembamba kama mimi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unatafuta bifu na chubby people!!!!
Utafiti wako ni wa uongo... Rudia upya utafiti mkuu
 
kweli kabisa ukienda pale shule ya uhuru ya mahitaji maalumu watoto wengi wenye mtindio wa ubongo ni vibonge
 
mkuu utafiti wako una walakini kidogo

Watu wanene wana lipids nyingi ambazo zinasaidia kutengeneza myelin sheath

Hivyo basi taarifa (nerve impulses)zinakuwa zinapita kwa ku jump kwenye nodes of ranvier na kupelekea taarifa kufika haraka kwenye ubongo hivyo basi hata feedback inakuwa pia ni haraka na pia uwezo wa kufikiri kwa haraka na kutenda pia huwa ni haraka

Haya sasa mm nimetumia biology ku defend point yangu na wewe tetea yako kwa kutoa facts tuone
Swali la changamoto, je mtu mwenye lipids nyingi (obesity) ina maana myelin shealth yake ni thicker kuliko mtu mwembamba? Kama ndio how do you prove? Unafahamu mtu mwembamba anaweza kuwa na dyslipidemia (mvurugiko wa viwango vya lipids kwenye damu kati ya high na low density fats)?
 
Mbona Hata DB enzi hizo alikuwa mwembamba lakini alizungusha?

Kautafiti kangu kadogo tu kamefanya niweze kugundua kuwa Binadamu wembamba huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wale wenzao wanene.

Je hali hii hutokana na nini?
 
Kama mabonge ni mazembe tu hata kwenda "toi" na kuny* unafikiri yataweza kufikiri na kung'amua mambo makubwa ama kudeal na kitabu kizito darasani?
Marekani hawatakagi kubisa Rais bonge aongoze dola kwa sababu ya mabonge kuwa ya hovyo kichwani
 
Swali la changamoto, je mtu mwenye lipids nyingi (obesity) ina maana myelin shealth yake ni thicker kuliko mtu mwembamba? Kama ndio how do you prove? Unafahamu mtu mwembamba anaweza kuwa na dyslipidemia (mvurugiko wa viwango vya lipids kwenye damu kati ya high na low density fats)?
Mkuu hao wenye obesity ni special case

Ngoja nikupe mfano huu nahisi utaelewa vizuri

Temperecha ikiongezeka the rate of the chemical reactions increases up to certain point called optimum temperature(At this point there is maximum collision between substrates and enzymes) hivyo basi ukiongeza temperecha zaidi the rate of the reactions decreases muda mwingine inaweza ika stop kabisa kwa sababu zile enzaimu aktivu saiti zinakuwa dinechadi kwa hiyo ile katalytiki efekti inakuwa haipo tena

Pia katika hiyo optimo pointi ukipunguza temperecha hiyo reti of kemiko riaksheni ina pungua kwa sababu kollisheni kati ya substrate na enzyme inakuwa ndogo kwa kuwa enzyme ina kuwa ini aktive

I hope utakuwa umenielewa nataka kusema nn
 
HR acha vituko mkuu, unaongelea in situ au? Anyway hujaprove bado kama mabonge wana myelin shealth kubwa kuliko wembamba. Halafu u talked about impulse transmission along the axon, what about neurotransmiters at the synapses? Kwa maneno mengine hii kitu iko far beyond theories, lots of things should be put into consideration. Nafikiri mtoa mada anaongelea mabonge wenye baadhi ya metabolic disorders zinazoaffect uwezo wa kiakili, lkn sio watu wote wanene ni vilaza
 
Unatafuta ugomvi na yule King of Social Media... Ha ha ha
 
Back
Top Bottom