Kwanini watu wembamba huwa na akili kubwa kuliko wale wanene?

Watu wote walikuwa wembamba wanabadilika as time goes, kwa hiyo utafiti wako hauna mashiko
 
Yani hapa mkuu nilitaka kumaanisha ile wanavyosema too much is harmful ndio maana nikakutolea mfano wa temp against the rate of reactions kwamba ukiongeza temperature rate inaongezeka lakini ukiongeza zaidi kuliko kiwango kinachotakiwa hiyo reti inapungua au kusimama kabisa
 
Kautafiti kangu kadogo tu kamefanya niweze kugundua kuwa Binadamu wembamba huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wale wenzao wanene.

Je hali hii hutokana na nini?
Mfano mbunge wa geita cjui anaitwa nani yule, ana akili sana
 
Kautafiti kangu kadogo tu kamefanya niweze kugundua kuwa Binadamu wembamba huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wale wenzao wanene.

Je hali hii hutokana na nini?
Unamtafuta le mutuz bila Shaka!
 
Hahahaaha nadhan utakua mnene kwa hii post ilivyo
 
Tuliambiawa kati ya 4 mmoja ndio hazimtoshi. Je ni wanene au wembamba? Na tukatembelee mirembe tuone wakoje? Halafu kidole unachotumia kutuma ujumbe huu kwa kupitia simu ni kinene au kembamba?
 
Nimekusoma mkuu HR triple 6, inaelekea zama zako ulikimbiza kemia na baiolojia.
 
Sawa lakini ukimwangalia Bulembo mbona biology inaweza kuwa imepotea njia??
 
Mtu mnene anaweza akakonda na mtu mwembamba anaweza akanenepa any time,kwa hiyo na akili zao zitakua zinabadilika badilika kwa kufuata uzito/wepesi wa miili yao?!

Ni bora hata ungekua umefanya kautafiti ka kilimo cha vitunguu ungeongeza kitu maishani mwako kuliko huo utafiti wa kufikirika usiokua na evidence wala proof yeyote.
 
Mfano mzuri angalia mabilionea karibu wote ni wembamba.. Pia maraisi wa zile nchi tajiri pia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…