Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Kama umefanya kazi ya kuuza duka la rejareja au pharmacy utakuta wateja wengi wanaotaka condoms wakikuta wateja wengine wanashindwa kabisa kusema kuwa wanahitaji condoms, utakuta mtu anaanza kuulizia bei za mikate mara soda akisubiri wateja wengine waondoke ndio aseme shida yake. Hii imekaaje wadau?
Na pia kama umefanya kazi receptionist kwenye lodge/guest houses utagundua mara nyingi kuna watu huwa ni waoga sana kuingia hata kuulizia vyumba...unakuta mtu anaingia lodge huku anatetemeka tetemeka , cjui kwanni aisee ni uoga au?