Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Valentine hii mzeeAsubuhi yotee hii tayari unafikiria kunyanduana..!!
Napita tu KUKUSISITIZA na KUKUMBUSHA kuwa USIOE..!!!
#YNWA
Nipo airport terminal 3 nasubiri mweweUmekosa usingizi mkuu?
Kama wanaogopa kuingia gesti, ujasiri wa kugegedana uchochoroni wanaupata wapi?Kama umefanya kazi ya kuuza duka la rejareja au pharmacy utakuta wateja wengi wanaotaka condoms wakikuta wateja wengine wanashindwa kabisa kusema kuwa wanahitaji condoms, utakuta mtu anaanza kuulizia bei za mikate mara soda akisubiri wateja wengine waondoke ndio aseme shida yake. Hii imekaaje wadau ?
Na pia kama umefanya kazi receptionist kwenye lodge/guest houses utagundua mara nyingi kuna watu huwa ni waoga sana kuingia hata kuulizia vyumba...unakuta mtu anaingia lodge huku anatetemeka tetemeka , cjui kwanni aisee ni uoga au ?
Valentine day leo ndio topiki zake hizoAsubuhi yotee hii tayari unafikiria kunyanduana..!!
Napita tu KUKUSISITIZA na KUKUMBUSHA kuwa USIOE..!!!
#YNWA
Na pale famasi unaomba paketi mbili au tatu za bull condom huku ukimtizama bidada muuzani machoni na tabasamu kubwa kabisaKutokujiamini TU,
Mimi huwa naulizia chumbani, nakagua mpk chaga zimekaaje kabla sijaleta zigo[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahh noma sana kuna siku nlienda kununua KY gel...dah inahitaji sana ukauzu maana wauzaji wanaweza kuhisi huyu jamaa anaenda kuvua kambale niniNa pale famasi unaomba paketi mbili au tatu za bull condom huku ukimtizama bidada muuzani machoni na tabasamu kubwa kabisa
Inahitaji ukauzu mzee babaHao ni wendawazimu...mimi hata kama duka anauza mzazi wangu nanunua hapo condom vizuri tu bila kusitaa
Sasa hiyo ndio nzuri kabisa yaani wanajua jamaa ni konki master mzee wa 4WDDahh noma sana kuna siku nlienda kununua KY gel...dah inahitaji sana ukauzu maana wauzaji wanaweza kuhisi huyu jamaa anaenda kuvua kambale nini
Dah halafu haikuwa kwa kazi hiyoSasa hiyo ndio nzuri kabisa yaani wanajua jamaa ni konki master mzee wa 4WD
Hayawani maana yake ni mnyama kwasababu hana haya au aibu ambayo ni sifa ya binadamu yyt Kama io kitu huna basi wewe majinuni Kama waokota makopo coz that basic character of a human being huna.Kama umefanya kazi ya kuuza duka la rejareja au pharmacy utakuta wateja wengi wanaotaka condoms wakikuta wateja wengine wanashindwa kabisa kusema kuwa wanahitaji condoms, utakuta mtu anaanza kuulizia bei za mikate mara soda akisubiri wateja wengine waondoke ndio aseme shida yake. Hii imekaaje wadau ?
Na pia kama umefanya kazi receptionist kwenye lodge/guest houses utagundua mara nyingi kuna watu huwa ni waoga sana kuingia hata kuulizia vyumba...unakuta mtu anaingia lodge huku anatetemeka tetemeka , cjui kwanni aisee ni uoga au ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama wanaogopa kuingia gesti, ujasiri wa kugegedana uchochoroni wanaupata wapi?