acha upumbavuMwaka huu tutashuhudia kila aina ya vijembe , tunaomba tu msije kuwatelekeza mtakaowapanga mstari wa mbele
Nyie mkakimbilia kanada na ubelgiji
kama nani? wema sepetu?Jamani hili ni swali naamini jibu lake unalo mwenyewe, huku mitaani Vijana,Wadada,Kinamama,kinababa,Wazee wote wenye uelewa wa mambo ni washabiki wa Chadema,hata humu jukwaani bila kusahau Viongozi wa dini
Lakini ukienda upande wa pili kule ufahamu wa mambo ni mdogo sana,naamini hata nyiye wenyewe ni mashahidi,ingawa nimejizuia kuandika kwa mifano ya majina ya watu