Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

HERUFI KUBWA

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
388
Reaction score
602
Praise the lord..
Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake.

Uimbaji wake hapa wanapenda kuzungumzia suala la kutungia baadhi ya wasanii nyimbo kama baraka prince.

Suala lingine ya kuwa uimbaji wake hajawahi taja jina la Yesu

Nyie mnamuelewaje kwani???

New-song shukrani
 
Sasa kama katika uimbaji wake hajawahi kumtaja Yesu Kristo, yeye Ni Mkristo wa namna gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…