Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

HERUFI KUBWA

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
388
Reaction score
602
Praise the lord..
Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake.

Uimbaji wake hapa wanapenda kuzungumzia suala la kutungia baadhi ya wasanii nyimbo kama baraka prince.

Suala lingine ya kuwa uimbaji wake hajawahi taja jina la Yesu

Nyie mnamuelewaje kwani???

New-song shukrani
 
PRAISE THE LORD..
HIVI KWANINI WATU WAMEJARIBU KUMUANDAMA GOODLUCK GOZBERT MARA NYINGI WATUMISHI WA MUNGU WAMEKUWA WAKIMUONA WA DUNIA NA SABABU ZAO KUBWA NI UVAAJI WAKE,,,UIMBAJI WAKE HAPA WANAPENDA KUZUNGUMZIA SUALA LA KUTUNGIA BAADHI YA WASANII NYIMBO KAMA BARAKA PRINCE.....SUALA LINGINE YA KUWA UIMBAJI WAKE HAJAWAHI TAJA JINA LA YESU
fb03ad1e2c9c6a5e468c251d61176603.jpg
21e7016133e81ad643b0188c9b3b9694.jpg


NYIE MNAMUELEWAJE KWANI???

NEW-SONG SHUKRANI
Sasa kama katika uimbaji wake hajawahi kumtaja Yesu Kristo, yeye Ni Mkristo wa namna gani?
 
Back
Top Bottom