Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

Huyu muhuni achague moja kati ya baridi au moto

Kwenye dini Hamna usela km anavyojiaminisha yy

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?

Kuna mhuni mmoja aligongewa VISA na Yesu mwenyewe pale msalabani usidhani Mungu anatutenga sisi wengine,imani ya mtu iko ndani ya moyo hauwezi kuiona ila yule aliye sirini ndio anajua imani zetu naamini mtavurugika sana siku ya mwisho masela tuko mkono wa kuume wa Bwana.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji120] [emoji120]
 
Binadamu anaweza kukuhukumu kwa monekano. Bila kujali Imani yako ikoje. Monekano sio Imani
 
Kiufupi ni msanii wa nyimbo za injili akijitahidi kutoka huko atakua muimbaji wa nyimbo za injili.
HAPO NIMEKUELEWA NITAJIE MFANO WA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI??
 
Kwa hiyo anaona aibu kumtaja Yesu kwenye uimbaji wake?
Anamwonea aibu Yesu au Anamwogopa nani?

Ni vyema akawa wazi kama anaimba injili basi aimbe injili ikiwa imekamilika vyema, na sio kupaka paka juu juu.

Huko kwenye bongo flavour hakuna shida kuimba chochote, ataje chochote, kuanzia mungu mpaka matusi na bado atapata mashabiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…