Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

 
Wasanii wengi wa injili miaka ya leo wapo kibiashara zaidi tofauti na zamani.Mimi mwenyewe nina albam zake sijaona jina Yesu. Ningemshauri ajitokeze afafanue ili kuelewesha umma wa wakristo tunaoamini katika Yesu Kristo
 
Upo sahihi ni SHABIKI YANGU ILA KUIMBA GOSPAL SONGS BILA KUTAJA JINA LA YESU INA UKAKASI KIDOGO
 
Mkuu huyu ni muimbaji wa nyimbo za dini na dini siyo injili pekee ni zaidi ya hapo ndio mana nkatolea mfano wa zaburi ambayo pia siyo injili.
Hata hivyo tunataka tulisikie hata nyimbo moja jina YESU...unajua kutamka jina hili sio mchezo
 
Kwa hizi picha midomo imekaa kama anavuta bangi vile.

Lakini tusimlaumu kama umewahi kuangalia gospel za Kenya za kisasa yaani ndo balaa hao wakina Willy Paul ni cha mtoto
Kenya gospal kama una moyo mgumu hauwezi elewa mfano piston..-lilanga la Yesu
 
Wasanii wengi wa injili miaka ya leo wapo kibiashara zaidi tofauti na zamani.Mimi mwenyewe nina albam zake sijaona jina Yesu. Ningemshauri ajitokeze afafanue ili kuelewesha umma wa wakristo tunaoamini katika Yesu Kristo
Exactly mkuu
 
yule kijana anatakiwa apewe ushauri namna ya kuishi kwenye hii dunia. kwanza kabisa ule uvaaji wake, ulembuaji wa mimacho ile, kujikubua na kujiscrub utafikiri mademu, mimi huwa siwaangaliii wakiwa na kile kijamaa chenzie sijui kinaitwa kinani. inawezekana hana hayo mambo ya kipuuzi na hajui kama wenzie wenye hayo mambo huwa wanabehave like him kwasababu labda hajazaliwa kwenye ulimwengu wenye hao watu (mtu wa church zaidi), ashauriwe kuwa anatakiwa kuwa na miondoko fulani hivi ya kiuwanaume, ile ya kurembuarembua, kucheza kama daimondi, ni uchafu tu. zaidi ya yote, unajua kuna mambo unaweza kuambiwa na wanadamu, ila kama kweli umeokoka, membo mengine utaambiwa/utawekwa sawa tu na Roho Mtakatifu. Mungu amsaidie.
 
Nyimbo zake hazina uponyaji kiroho, hajawa tofauti na waimba taarabu tu.... Halafu huyu jamaa sio shoga kweli!!? Nna mashaka sana...
 
Upo sahihi ni SHABIKI YANGU ILA KUIMBA GOSPAL SONGS BILA KUTAJA JINA LA YESU INA UKAKASI KIDOGO
Yesu wako wewe na Roho yako Kama humumuelewi kwanini mnamsikiliza na kufight against kijana huyu.

Only God can judge him,Binadamu wanapoteza energy tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MWe wakina mwa[emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesu wako wewe na Roho yako Kama humumuelewi kwanini mnamsikiliza na kufight against kijana huyu.

Only God can judge him,Binadamu wanapoteza energy tu
Ingekuwa only God can judge every one, Basi kusingekuwa na makanisa na Mungu pia humponya mtu kupitia watu haohao kuna karama anaweka ili kufundisha Mungu hawezi kushuka moja kwa moja aje kumfundisha mwenyewe ila kupitia watu. Na pia hatumjaji Mtu yeyote anayempenda akiona sehemu kuna tatizo ni vema amwambie au afafanue.Wewe uliekaa kaimya endapo kweli kakosea na hukumwambia wewe ndiyo utahukumiwa.
 
Kuna kuimba gospel na kuishi gospel
Lkn kuimba ama kuishi gospel hakukufanyi uwe MTU Fulani mshamba mshamba
Wala hakukufanyi uwe unavaa kishamba,ilimradi tu uenende kwa hekima na heshima na ufanyacho kisiwe chukizo kwa Mungu,
Watu wanapretend sana wanapojifanya wanamjua Mungu,kwa nje wanabadili kila kitu,wanaongea mikono wamekunja wanavaa suti na mabuga uu,wanavaa nguo style za zamaaaaani huku wakisahau hata hizo za zamani wakati wake zilionekana za kusasa na za kihuni,kuna wakati nakumbuka ilikuwa dhambi mlokole kuvaa jeans,hizi zilikuwa zama za umbumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah..gospel singers wa kutoka mbeya ndio wako hivyo..suti koti inafika ugokoni na kiatu cheupe kirefuu..na shati la egoli linang'aaa


hahahahahahahhhhaahha uwiii niache mie jaman nakufa na mbav! nakumbuka mume wangu alipokuja kwetu kujitambulisha

iringa akashukia mafinga! hahaha yaan mpk leo huwa anacheka! alikurana na surual zarang ya ajabuuu alifika hom akiniona

anacheka mbayaaa ahahah ananiambia watu wa iringa/mbeya bora akose hela lakini avae suti! hahaha alafu suti zao sasa

hahaha utacheka ufwe! anawea kukupigia trauza ya kijani mtelezo na shat mtelezo kijani! na tai kijani! chini four angle ya hajaaaaa hahahha nyeupeee hhhhhhhahahahaa salute

ukita kurefresh mind nenda iringa na mbeya.... sijui kwa miaka hii!
 
Kwani mtumishi wa Mungu utakiwi kuwa sharo mbona wapo wengi wazuri kwa kuvaa na wanajua kumtumikia Mungu why Goodluck gozbert
Siyo kila anaeimba gospel ni mtumishi wa Mungu,wengine ni watumikia matumbo,
Kila MTU ni mtumishi wa Mungu mahali alipo,
Machinga ni mtumishi wa Mungu huko aliko mtaani na ktk matendo ya biashara take,mfanya kazi wa ofisini,askari,raising,mwanafunzi,mzazi,mtoto nk wote ni watumishi wa Mungu kadri ya wito wa kila MTU,
Injili inachapwa na yyte kwa vitendo popote alipo,
Hata kumridhisha mumeo ama mkeo ktk tendo la ndoa ni injili maana tumeagizwa tusinyimane na tuombe kabla ya kupiga tukio,NBsimaanishi zinaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…