Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Imani pasipo matendo basi imekufa. Kama mtu anaamini pombe ni haramu basi asiinywe, au anaamini nguruwe ni haramu basi asiile nyama yake.Binadamu anaweza kukuhukumu kwa monekano. Bila kujali Imani yako ikoje. Monekano sio Imani
Kile unachokiamini kinapaswa kijionyeshe kwenye maisha yako ya kila siku. Hivyo muonekano wako ni kielelezo cha kile unachokiamini moyoni mwako.