Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

Waafrika tumezivamia dini (za nje) na tutakufa hatuzijui.

Lengo la nyimbo za dini ni kusifu na kuabudu sasa fikirini yeye anafanya wapi kisha mtajua analenga nin hasa.

Utakuta mtu anamponda eti ajataja jina la Yesu alafu mtu huyo huyo utankuta anazisifu Zaburi. Mtu akisema Zaburi ziliandikwa wakati Yesu ajaja duniani basi na sharyi aziache maan ni outdated.

Eti Sharo?, kwan mlitaka awe mchafu mchafu wakati dini znasema mwili wako ni hekalu la Bwana!.

Narudia tutakufa hatuijui hizi dini.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo anaona aibu kumtaja Yesu kwenye uimbaji wake?
Anamwonea aibu Yesu au Anamwogopa nani?

Ni vyema akawa wazi kama anaimba injili basi aimbe injili ikiwa imekamilika vyema, na sio kupaka paka juu juu.

Huko kwenye bongo flavour hakuna shida kuimba chochote, ataje chochote, kuanzia mungu mpaka matusi na bado atapata mashabiki tu.
Kwenye wimbo wa Hauwezi kushindana kuna mahali ametaja YESU
 
Mavazi, kunyoa, urembo mapambo, kujichubua, shape, havitupeleki mbinguni Mungu ni roho na wanao muabudu watamuabudu katika roho na kweli acheni kumsimanga kijana wa watu au kuna anaejua hata saa yake moja mbele atakua anapumua? hii pumzi ya bure tulio azimwa na Mungu tuitumie kwa mambo ya maana [emoji120]
 
Pia Mungu ametuwekea utaratibu mzuri katika kuishi kwetu , kila kitu mavazi, chakula, kunyoa, kila kitu kipo kwenye biblia.
 
Mavazi, kunyoa, urembo mapambo, kujichubua, shape, havitupeleki mbinguni Mungu ni roho na wanao muabudu watamuabudu katika roho na kweli acheni kumsimanga kijana wa watu au kuna anaejua hata saa yake moja mbele atakua anapumua? hii pumzi ya bure tulio azimwa na Mungu tuitumie kwa mambo ya maana [emoji120]

Mungu huyo huyo aliemuumba na shepu na akili mbovu ya kujichubua na hela za kununua urembo nae anastahili kuuawa kwanza maana ndio chanzo cha mabaya yote haya uliyo orodhesha!
 
Mavazi, kunyoa, urembo mapambo, kujichubua, shape, havitupeleki mbinguni Mungu ni roho na wanao muabudu watamuabudu katika roho na kweli acheni kumsimanga kijana wa watu au kuna anaejua hata saa yake moja mbele atakua anapumua? hii pumzi ya bure tulio azimwa na Mungu tuitumie kwa mambo ya maana [emoji120]
unajidangaya mkuu mwili ni hekalu la bwana kasome mambo ya walawi 19: 27-28 alf urudi hapa ufute comment yako
 
Huyo jamaa hamna kitu....namshauri akaimbe bongo fleva mana anachelewa kupiga hela....huyu si ndo anajiita Lolpop ana studio yake Mwanza, na ndio mtunzi wa wimbo wa siachani nawe wa baracka da prince, na ndiye aliyegonga beat ya huo wimbo...anachanganya madesa sana aisee....ubishoo na usharo mwingi. Mungu si wa hivyo Bhana
 
Kasome maandiko au tumia akili yako vizuri
Wewe ndio utumie AKILI yako vizuri,akili umeweka mfukoni maana dini yako tells you what to think and do,it never help you to think for yourselves!

Siwezi kusoma upumbavu alioandika mwanadamu kama mimi na kudanganya eti katumwa na Mungu...

Kwanza huo uongo tu pekee yake unatosha ku-discredit everything written in there!

Wewe usioweza kutumia ubongo wako mwenyewe to think for yourself ndio una matatizo..Huwezi kuishi dunia hii unaelekezwa cha kufikiri na kufanya na some stupid people claiming they are God's agents!

What a group of idiots!
 
Mkuu taratibu...!!
 
Alitakiwa avae mabwanga na suti za kung'aa kama mabati ndio aonekane sio wakidunia
Mwendo wa kaunda suti za kipaimara na makoti kama mganga wa mvua [emoji56][emoji56] Wapendwa wokovu ni moyoni na rohoni si sura na mavazi kama wengi wadhanivyo,ingawa kuvaa kiheshima ni muhimu Sana kama kioo Cha Yesu[emoji1488]
 
Praise the lord..
Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake.

Uimbaji wake hapa wanapenda kuzungumzia suala la kutungia baadhi ya wasanii nyimbo kama baraka prince.

Suala lingine ya kuwa uimbaji wake hajawahi taja jina la Yesu

Nyie mnamuelewaje kwani???

New-song shukrani
Kwa nini nyinmbo zake hazitaji jina la Yesu? Kama ni kweli basi tuhuma dhidi yake zitakuwa sahihi. Ni waabudu shetani tu ambao huwa hawataji jina la Yesu, ni kwa sababu kulitaja huwa linawagharimu resources zao na ndiyo maana huwa hawapendi kulitaja!
 
Back
Top Bottom