Vita dhidiyaujinga
JF-Expert Member
- May 15, 2026
- 279
- 385
Nafikiri uko sahihi hawawazi ustawi wa kondooWanakula sadaka zenu mnaoitwa Kondoo
kitambi ni ugonjwa, ni obesity. Waafrika mna changamoto sanaShikamoo,..habari zenu..
Kwanini wanaoitwa watumishi wa Mungu wa Leo miongoni mwao wanakuwa na vitambi? Je ni kwasababu washirika wao wanawapa vinono? Ni utukufu wa Mungu? Ni waongo ndiyo maana Wana vitambi?
Ili mtu apate/awe na kitambi,nini husababisha?Shikamoo,..habari zenu..
Kwanini wanaoitwa watumishi wa Mungu wa Leo miongoni mwao wanakuwa na vitambi? Je ni kwasababu washirika wao wanawapa vinono? Ni utukufu wa Mungu? Ni waongo ndiyo maana Wana vitambi?
Ni matokeo ya uchoyo.ebu niambie mtumishi wa Mungu kwenye biblia aliyekuwa na kitambi (mwili hauko balanced)Kwani kuwa na kitambi ni dhambi? Au kuna mahali pameandikwa watumishi wa Mungu hawapaswi kuwa na vitambi?
Kama maana ya mtu kuwa na kitambi ni kunawiri na kustawi je, watumishi wa Mungu hawapaswi kustawi na kunawiri?
Yoshua 1:8
[8]Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.
Kwani wote wameelezwa jinsi maumbo ya miili yao ilivyokuwa?Ni matokeo ya uchoyo.ebu niambie mtumishi wa Mungu kwenye biblia aliyekuwa na kitambi (mwili hauko balanced)
Thibitisha...Hao sio, hakuna mtumishi mwenye kitambi
Kutokufanya mazoezi, matumizi ya vyakula vya mafuta na sukari kwa wingi...Ili mtu apate/awe na kitambi,nini husababisha?
Hapo wanakuwa wametenda dhambi?Kutokufanya mazoezi, matumizi ya vyakula vya mafuta na sukari kwa wingi...
Isaya 3:16-25. BWANA atawaondolea VITAMBIKwani kuwa na kitambi ni dhambi? Au kuna mahali pameandikwa watumishi wa Mungu hawapaswi kuwa na vitambi?
Kama maana ya mtu kuwa na kitambi ni kunawiri na kustawi je, watumishi wa Mungu hawapaswi kustawi na kunawiri?
Yoshua 1:8
[8]Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.
May be, maana hata isaya 3:16-25.Hapo wanakuwa wametenda dhambi?
Ndiyo baadhi.labuda husomi biblia na ata wasingeonyeshwa maisha yao ya kufunga,kuomba,kutumika kwa uangalifu,kusimama dhidi ya uasi mfano Yohana Mbatizaji ni wazi hamuna kitambi hapoKwani wote wameelezwa jinsi maumbo ya miili yao ilivyokuwa?