Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 3,289
- 5,964
Masai unatoa wapi kitambi?Kitambi ni sehemu ya maisha ya sasa kwa sababu ya fastfoods. Hata mimi nina kitambi

Mimi ni Masai wa TownMasai unatoa wapi kitambi?
Wameridhika....Shikamoo,..habari zenu..
Kwanini wanaoitwa watumishi wa Mungu wa Leo miongoni mwao wanakuwa na vitambi? Je ni kwasababu washirika wao wanawapa vinono? Ni utukufu wa Mungu? Ni waongo ndiyo maana Wana vitambi?
Ni matokeo ya wskristo ..kutupa lulu zao chini ya nguruwe na hao nguruwe kuzidi kupata nguvu na kugeuka kuwalalua wahumini...lulu ni mali mtoazo na nguruwe ni hao watumishiShikamoo,..habari zenu..