Kwanini watumishi wa Mungu wa Leo Wana vitambi?

Kwanini watumishi wa Mungu wa Leo Wana vitambi?

Shikamoo,..habari zenu..
Kwanini wanaoitwa watumishi wa Mungu wa Leo miongoni mwao wanakuwa na vitambi? Je ni kwasababu washirika wao wanawapa vinono? Ni utukufu wa Mungu? Ni waongo ndiyo maana Wana vitambi?
Mkuu Hivi Pastor Tonny Kapola (yule mtaalam wa masuala ya gesi) nae akitambi siku hizi? Ni muda mrefu sijamuona.

#Hili nalo mkalitizame.
 
nimekumbuka kitu. ata mimi ninacho kitambi kwaiyo nadhani kitambi kinaletwa na kuwaombea watu dua kwaiyo naendelea kusisitiza kwamba tukiachana na yote kwa yote sisi zetu ni dua tu kwa kila mmoja
 
Shikamoo,..habari zenu..
Kwanini wanaoitwa watumishi wa Mungu wa Leo miongoni mwao wanakuwa na vitambi? Je ni kwasababu washirika wao wanawapa vinono? Ni utukufu wa Mungu? Ni waongo ndiyo maana Wana vitambi?
Kitambi ni lifestyle sio huduma
 
Back
Top Bottom