econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Sadaka haziliwiWanakula sadaka zenu mnaoitwa Kondoo
Sadaka haziliwiWanakula sadaka zenu mnaoitwa Kondoo
Mbona Kuna maskini Wana vitambi. Kitambi ni lifestyleNi matokeo ya hela za Makondoo hizo.
Kitambi ni sehemu ya maisha ya sasa kwa sababu ya fastfoods. Hata mimi nina kitambi
Kitambi kinasababishwa na mambo mengi.Ni matokeo ya uchoyo.ebu niambie mtumishi wa Mungu kwenye biblia aliyekuwa na kitambi (mwili hauko balanced)
Namna ya kutoa?Ugali na wali vyanzo vikuu vya abdominal fats
Unajua maana ya sadakaNdiyo,ambazo ni pamoja na kula sana na uvivu wa kazi kwa kulazimisha watu kutoa sadaka bila kujali wameiba au hawana chakula nyumbani
Yule Hana. Anajitahidi kujikondesha sana. Anamuiga baba yake Hubert AngelMkuu Hivi Pastor Tonny Kapola (yule mtaalam wa masuala ya gesi) nae akitambi siku hizi? Ni muda mrefu sijamuona.
#Hili nalo mkalitizame.
Maana yake Wana lifestyle za uchoyo haziendani na hudumaKitambi ni lifestyle sio huduma
Hili nakubaliana nalo.Niwaongezee kitu hapa
Ata mali wanapambana wawe nazo kuzidi washirika
Wachache umewahesabu lini?. Kitambi ni lifestyle ya mtu.IAu hawafungagi, mbona masheik, ni wachache wenye vitambi.
InawezekanaMaana yake Wana lifestyle za uchoyo haziendani na huduma
Mtu anayefunga sana Kuna kipindi hata hamu ya kula inaondokaWana vitambi kwa sababu kama watumishi hawafuati maelekezo ya Mungu.
Mungu anasema..... kila kitu kwa kiasi... wao wanakula sana sana ... we wachunguze tu
Mtumishi wa Mungu ni yule anayeugua kwa ajili ya kondoo, lazima awe mfungaji na muombaji sana. Sasa mtu anayefunga na kula kwa kiasi kitambi kinatoka wapi???? Tafakari....
NARUDIA.Lifestyle iendane na huduma hatutegemei mtumishi wa Mungu anayekula kwa akili na kutafakari kuhusu huduma awe na kitambiWachache umewahesabu lini?. Kitambi ni lifestyle ya mtu.
Na ndio vyakula vya watanzania wa chini.Ugali na wali vyanzo vikuu vya abdominal fats
nyama ya kondoo huwa ni tamu na yenye virutubisho vingi mkuu, lazima unenepe.Shikamoo,..habari zenu..
Kwanini wanaoitwa watumishi wa Mungu wa Leo miongoni mwao wanakuwa na vitambi? Je ni kwasababu washirika wao wanawapa vinono? Ni utukufu wa Mungu? Ni waongo ndiyo maana Wana vitambi?
Nafikiri unatanianyama ya kondoo huwa ni tamu na yenye virutubisho vingi mkuu, lazima unenepe.
kwanini?Nafikiri unatania
Kifasihi nimeelewa ila legeza lugha waelewe wotekwanini?
Namna ya kutoa?