Ok mkuu nadhani wamekusikia hao mapastor.NARUDIA.Lifestyle iendane na huduma hatutegemei mtumishi wa Mungu anayekula kwa akili na kutafakari kuhusu huduma awe na kitambi
Kitambi=unakula kinachozidi tumbo au shea yako
KabisaOk mkuu nadhani wamekusikia hao mapastor.
Wanashiba nyama Za kondooShikamoo,..habari zenu..
Kwanini wanaoitwa watumishi wa Mungu wa Leo miongoni mwao wanakuwa na vitambi? Je ni kwasababu washirika wao wanawapa vinono? Ni utukufu wa Mungu? Ni waongo ndiyo maana Wana vitambi?
Hao nao kwa ujumla wanakula shea za wengine.Watu kibao wana kitambi
GademitiHao nao kwa ujumla wanakula shea za wengine.
Kwaufupi sababu za kitambi ni
Ubinafsi
Uzembe
Uko sahihi mkuu!Wachache umewahesabu lini?. Kitambi ni lifestyle ya mtu.
Ni wapi kwenye biblia panaelezwa maumbo ya watumishi wa Mungu? Yaani unataka wewe uwe na kitambi ila yeye asiwe na kitambi?Ni matokeo ya uchoyo.ebu niambie mtumishi wa Mungu kwenye biblia aliyekuwa na kitambi (mwili hauko balanced)
Kama ni kufunga na kuomba waumini wote wanatakiwa wafanye hivyo sio watumishi peke yao, kama ni kwenye eneo hilo basi waumini pamoja na wachungaji wao wanatakiwa wafunge na kuomba na kama kufunga na kuomba kunaondoa vitambi basi waumini na pamoja na waumini wao wanapaswa kutokuwa na vitambiNdiyo baadhi.labuda husomi biblia na ata wasingeonyeshwa maisha yao ya kufunga,kuomba,kutumika kwa uangalifu,kusimama dhidi ya uasi mfano Yohana Mbatizaji ni wazi hamuna kitambi hapo
Acha kupotosha na Isaya yako, soma kuanzia mstari wa kwanza upate kuelewa ni kwa sababu gani yalisemwa hayo,May be, maana hata isaya 3:16-25.
Mungu atawaondolea vitambi...
Kuwaondolea vitambi kwa maana ya kwamba ataondoa yale mema kwao, juu amesema ataondoa tegemeo la chakula na maji, atawaondoa majemedari wa vita, kwa sababu watu waliacha kumtumikia Mungu na kutegemea mali na ukwasi waliokuwa naoIsaya 3:16-25. BWANA atawaondolea VITAMBI
Asante mkuu...Acha kupotosha na Isaya yako, soma kuanzia mstari wa kwanza upate kuelewa ni kwa sababu gani yalisemwa hayo,
Sawa mkuu!Kuwaondolea vitambi kwa maana ya kwamba ataondoa yale mema kwao, juu amesema ataondoa tegemeo la chakula na maji, atawaondoa majemedari wa vita, kwa sababu watu waliacha kumtumikia Mungu na kutegemea mali na ukwasi waliokuwa nao
Si DHAMBI ila yanaweza kuwa matokeo ya DHAMBI kama ulafi nkKuwa na kitambo si dhambi ila kuna utofauti kati ya;
1. Mtumishi wa Mungu
2. Mtumishi wa shetani na
3. Mtumishi wa Dunia (muongo/fake).
Zinanywewa?Sadaka haziliwi