ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mfanyakazi hujamfanyia induction akikosea maana yake anaweza kukuruka akitoa siri hana kosa maana yake hajui lolote. Zamani niliona zinaendeshwa kwanini ni kama zimesitishwa je ni wajibu wa Taasisi, au tume ya maadil au huko utumishi wenyewe nani anawajabika na orientation