Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
π€£π€£Ha ha ha bwana HB kafurahi kwelikweli...Tumechangamsha genge kidogo. Jamaa alikua na hasira tu. Si unaona hata mwandiko wake? He is so calm. Na ametoa dukuduku lake moyo safiii sasa hv. Imagine navyomtania hb wala hakasiriki zaidi ya kunibadilishia jinsia[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikutakie siku njema mkuu. Ila akiniita nitarudi tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Inaonekana una wafahamu hawa watu vizuri. Vipenyo ni ngumu Sana kuwagunduaAah weee, pale IFM nakuambia vijana kibao walikua wanavaa kaunda. Kumbuka ikulu iko pale. Vijana wa mataga walikua wanahangaikaaaa sanaaaa wanajifanya vipenyo. Nakuhakikishia vipenyo walioapa hata ID yake haweki kwenye wallet. Hao ni wajinga tu umekutana nao. Wangapi wanachonga id fake. Vipenyo wanava acasual kawaida tu. Halaf we unajua huwa wanafanya kazi gani labda? Maana ni kama umewaweka wore ni specialization moja. Hao mataga wajinga sana. Wana kaunda zao za dark blue za kutoshaaa[emoji28] na moka halaf mwendo fulan hv kama watu wa maanaaa kumbe[emoji706][emoji706][emoji706] vipenyo wametuliaaaaa na huwa mostly ni observers. Ni wachache wenye tabia zao za ovyo. Na kila mmoja anakuwa kutokan na uhitaji. Utakuja mpaka mameneja wa bar na hotel ni vipenyo ila hutojuaaaaa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mkuu Nyboma teuzi ipi kaka?Mwanamme gani anajisifia sura, wewe jumbe brown tangu ulambe teuzi umekuwa tepetepe kweli?
Defensive mechanism hii, sawa nitakaribia alkasusu hapo kijiweni kwako siku yoyote π π πMkuu Nyboma teuzi ipi kaka?
Niko dambweni kwangu "kijiwe cha kahawa" muulize Erythrocyte anaujua unyonge wangu kiutafutaji...huwa nikimbana kihoja anakimbilia kunisifia utajiri wake wa mabanda yake ya biashara pale sabasaba π€£
Karibu Al Kasus mwamba!
Yes. Kuna friend wangu alishangaa amekutana na picha page ya kanisani ndoa imeahafungwaa. Acha kbs. Nikamwambia usifikiri ameoa tu hapana. Verring ilifanyika kwa huyo mwnaamke. Ananambia eti hata kazini kwao hawajui kama kaoa. Nikaona nisibishane naye. Kuoa si jambo rahisi kihivyo aisee. Sema jamaa kuna sababu zake alifunga na huyo bibie ila hakuna mapenz kabisa. Mapenz yote yamerudi huku.Harusi zinafungwa kimyakimya [emoji28][emoji28][emoji28]
Ha ha ha bado hajaacha nichokoza na muda ninao[emoji1787][emoji1787]Ha ha ha bwana HB kafurahi kwelikweli...
Ahsante mkuu nawe siku njema aaamin[emoji2969]
Kidooogoooo sanaaa[emoji28]Inaonekana una wafahamu hawa watu vizuri. Vipenyo ni ngumu Sana kuwagundua
Kumbe mheshimiwa jumbe ni kibopa hamsemi humu ndani?[emoji28][emoji28]Defensive mechanism hii, sawa nitakaribia alkasusu hapo kijiweni kwako siku yoyote [emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu amini nikuambiacho ..Defensive mechanism hii, sawa nitakaribia alkasusu hapo kijiweni kwako siku yoyote π π π
π³π³π€£Kumbe mheshimiwa jumbe ni kibopa hamsemi humu ndani?[emoji28][emoji28]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ooohoooo asije akaolewa mtu kweli π€£π€£
Kama wewe ni MATAGA lialia hunifai[emoji28][emoji23][emoji23] siwezi nikakuhonga na wewe ukahonge hapana[emoji15][emoji15][emoji1787]
Watakucheka wanaonijua ha ha ha
Erthyrocyte huwa ananishambulia sana kwa kuniita UVCCM lofa....
Huyo Ole Nasha mwenyewe alichanja kaishia kufia home hata hospitali hamjampeleka , aisee nyie watu wabaya sana poleni lakiniπ π π pamoja sana Polepole wa Mama yetu Mh. Samiah Suluhu Hassan naona bado uhamasishaji wa kuchanja unaendelea
View attachment 1955882
Sikusema hayo mheshimiwa jaji[emoji23]Ooohoooo asije akaolewa mtu kweli [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe jumbe ni mataga na huniambii? Ndo hao sasa wanakusimbuaga mkuu[emoji23] muulize idadi ya kaunda suti zake. Na idadi ya pen za cello anazobandika kwenye shatiMuimba pambio wa awamu ya sita [emoji28]
Aah mkuu, mna hakika gani kachanja? Wengi hawajachanja. Kisa kila mtu ni kiongozi basi kachanja?Huyo Ole Nasha mwenyewe alichanja kaishia kufia home hata hospitali hamjampeleka , aisee nyie watu wabaya sana poleni lakini
Hapana ni mambo mengine tu ambayo hayahusiani na mapenzi,kazi yangu ama yake.Kuna harufu ya mapenzi hapa[emoji1][emoji1]