Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣🤣Ha ha ha bwana HB kafurahi kwelikweli...Tumechangamsha genge kidogo. Jamaa alikua na hasira tu. Si unaona hata mwandiko wake? He is so calm. Na ametoa dukuduku lake moyo safiii sasa hv. Imagine navyomtania hb wala hakasiriki zaidi ya kunibadilishia jinsia[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikutakie siku njema mkuu. Ila akiniita nitarudi tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ahsante mkuu nawe siku njema aaamin🤲