Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

Tumechangamsha genge kidogo. Jamaa alikua na hasira tu. Si unaona hata mwandiko wake? He is so calm. Na ametoa dukuduku lake moyo safiii sasa hv. Imagine navyomtania hb wala hakasiriki zaidi ya kunibadilishia jinsia[emoji23][emoji23][emoji23]

Nikutakie siku njema mkuu. Ila akiniita nitarudi tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
🤣🤣Ha ha ha bwana HB kafurahi kwelikweli...

Ahsante mkuu nawe siku njema aaamin🤲
 
Aah weee, pale IFM nakuambia vijana kibao walikua wanavaa kaunda. Kumbuka ikulu iko pale. Vijana wa mataga walikua wanahangaikaaaa sanaaaa wanajifanya vipenyo. Nakuhakikishia vipenyo walioapa hata ID yake haweki kwenye wallet. Hao ni wajinga tu umekutana nao. Wangapi wanachonga id fake. Vipenyo wanava acasual kawaida tu. Halaf we unajua huwa wanafanya kazi gani labda? Maana ni kama umewaweka wore ni specialization moja. Hao mataga wajinga sana. Wana kaunda zao za dark blue za kutoshaaa[emoji28] na moka halaf mwendo fulan hv kama watu wa maanaaa kumbe[emoji706][emoji706][emoji706] vipenyo wametuliaaaaa na huwa mostly ni observers. Ni wachache wenye tabia zao za ovyo. Na kila mmoja anakuwa kutokan na uhitaji. Utakuja mpaka mameneja wa bar na hotel ni vipenyo ila hutojuaaaaa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Inaonekana una wafahamu hawa watu vizuri. Vipenyo ni ngumu Sana kuwagundua
 
Mwanamme gani anajisifia sura, wewe jumbe brown tangu ulambe teuzi umekuwa tepetepe kweli?
Mkuu Nyboma teuzi ipi kaka?

Niko dambweni kwangu "kijiwe cha kahawa" muulize Erythrocyte anaujua unyonge wangu kiutafutaji...huwa nikimbana kihoja anakimbilia kunisifia utajiri wake wa mabanda yake ya biashara pale sabasaba 🤣

Karibu Al Kasus mwamba!
 
Mkuu Nyboma teuzi ipi kaka?

Niko dambweni kwangu "kijiwe cha kahawa" muulize Erythrocyte anaujua unyonge wangu kiutafutaji...huwa nikimbana kihoja anakimbilia kunisifia utajiri wake wa mabanda yake ya biashara pale sabasaba 🤣

Karibu Al Kasus mwamba!
Defensive mechanism hii, sawa nitakaribia alkasusu hapo kijiweni kwako siku yoyote 😅😅😅
 
Harusi zinafungwa kimyakimya [emoji28][emoji28][emoji28]
Yes. Kuna friend wangu alishangaa amekutana na picha page ya kanisani ndoa imeahafungwaa. Acha kbs. Nikamwambia usifikiri ameoa tu hapana. Verring ilifanyika kwa huyo mwnaamke. Ananambia eti hata kazini kwao hawajui kama kaoa. Nikaona nisibishane naye. Kuoa si jambo rahisi kihivyo aisee. Sema jamaa kuna sababu zake alifunga na huyo bibie ila hakuna mapenz kabisa. Mapenz yote yamerudi huku.

Kwa ushauri zaidi tufollow kwa wingi page za ma mc, kumbi mbaki mbali na za kanisa kwa taarifa zaidi[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mkuu amini nikuambiacho ..

Karibu sana komredi...ndio kujuana huko mwamba!
😅😅😅 pamoja sana Polepole wa Mama yetu Mh. Samiah Suluhu Hassan naona bado uhamasishaji wa kuchanja unaendelea

37C23B42-81F8-4A12-8756-CF62759FA77C.jpeg
 
Back
Top Bottom