Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

Waambie waende Mombasa kuna vitu na pesa za bure.
Hapa Tz waende kwa Mpalange.
 
Akina mama wana roho ya huruma, na wanavutiwa sana wakitongozwa (inabaki juu yake kukubali au kukataa).
Sio ajabu mkeo alimtafuta jamaa na kumpa pole ya nguvu + kugegedwa.

Nakushauri, acha kumpeleka mkeo bar kama humuamini na una roho ya wivu na kujifanya kidume. Utaishia jela au mortuary, ukimuacha akiendelea kugegedwa kwa kwenda mbele
 
Zaidi ya unavyofikiria vijana hawa wana madeni na dhuluma nyingi huku mtaani, hakika wanatia huruma na kusikitisha.
Idara Gani Maana Watumishi Wote Ni Nyeti Sana
 
Inamaanisha kila siku analipwa 10,000/= huoni hela ndogo sanaaa hiyo hata kama ipo nje ya mshahara? Mimi kila siku napokea 50,000/= hiyo ni nje ya mshahara.
 
Objection mkuu

Iambie JF kwamba hakuna utofauti kati ya MATAGA na UVCCM.
THERE IS A THIN LINE BETWEEN MATAGA AND UVCCM

KWELI SI KWELI?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Si kweli mkuu wangu....

Mataga wako ndani ya UVCCM...I am not among them kabisaaa.....

Nimeiva itikadi ya chama na si "msukure" wa vikundi koko....🀣
 
Ulijuaje kama ni yeye? mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…