Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuulizia mm WHY?[emoji38][emoji38]Aaah mkuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] nimechekaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] na mwanaume wa kweli hajazi meza. Niulize zaidi. Ila nimechekaaa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Akina mama wana roho ya huruma, na wanavutiwa sana wakitongozwa (inabaki juu yake kukubali au kukataa).Huyu alinikuta niko na mke wangu tumekaa mahali akaleta zile za kukonyeza nikamtuma mtu ampe onyo, nilivyoenda enda washroom nikakuta amekuja kwenye meza yangu kumtongoza mke wangu nilimzaba kofi moja zito sana akarise pale ilikuwa nimmalize siku ile sema tu watu waliingilia pale nikaamua kuondoka kwa amani.
[emoji23][emoji23][emoji23] tafsiri yako unapoona vijana wamevaa hizi vipedo vyao vilaini, stockings na ndala halaf wamejaza meza nzima bia huwa unawatafsirije?Namuulizia mm WHY?[emoji38][emoji38]
Ha ha ha ha 🤣🤣🙌🙌
🤣🤣😂😂Mimi ni UVCCM lialia si mataga.....Kama wewe ni MATAGA lialia hunifai[emoji28][emoji23][emoji23] siwezi nikakuhonga na wewe ukahonge hapana
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
...😂 Na kazi Iendelee 💪😅😅😅 pamoja sana Polepole wa Mama yetu Mh. Samiah Suluhu Hassan naona bado uhamasishaji wa kuchanja unaendelea
View attachment 1955882
Idara Gani Maana Watumishi Wote Ni Nyeti SanaZaidi ya unavyofikiria vijana hawa wana madeni na dhuluma nyingi huku mtaani, hakika wanatia huruma na kusikitisha.
Inamaanisha kila siku analipwa 10,000/= huoni hela ndogo sanaaa hiyo hata kama ipo nje ya mshahara? Mimi kila siku napokea 50,000/= hiyo ni nje ya mshahara.Jinga lingine hili hapa, kwa comparison ya ajira za kitanzania wanajeshi wanapokea mishahara mizuri tu usidanganywe na mtu.
Hao Polisi unaowaona wanaendekeza njaa ukae ukijuwa, kila Polisi anapokea posho ya shilling laki tatu kila mwezi bila kujari cheo, na hii ni nje ya mishahara yao ambayo kila mtu analipwa kutokana na level yake.
Objection mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Mimi ni UVCCM lialia si mataga.....
Si kweli mkuu wangu....Objection mkuu
Iambie JF kwamba hakuna utofauti kati ya MATAGA na UVCCM.
THERE IS A THIN LINE BETWEEN MATAGA AND UVCCM
KWELI SI KWELI?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
🤣🤣Wewe jumbe umepata booster tayari 😁
Elezea juu ya mama kuongelea maumbile yake ya kikeSi kweli mkuu wangu....
Mataga wako ndani ya UVCCM...I am not among them kabisaaa.....
Nimeiva itikadi ya chama na si "msukure" wa vikundi koko....[emoji1787]
Ulijuaje kama ni yeye? mkuuJana Ulirudi Usiku
Huyu alinikuta niko na mke wangu tumekaa mahali akaleta zile za kukonyeza nikamtuma mtu ampe onyo, nilivyoenda enda washroom nikakuta amekuja kwenye meza yangu kumtongoza mke wangu nilimzaba kofi moja zito sana akarise pale ilikuwa nimmalize siku ile sema tu watu waliingilia pale nikaamua kuondoka kwa amani.
Daaah 😳😳😳Elezea juu ya mama kuongelea maumbile yake ya kike
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napata hasiraaaDaaah [emoji15][emoji15][emoji15]
Jioni njema miss Pablo...
Be blessed amen!!
Niko nao hapa mshahara wamemaliza tayari, vijana wanatia aibu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napata hasiraaa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sio kweli mkuu.Mishahara yao ni mikubwa hata bunge lenyeww huwa haliambiwi ni sh.ngapi.
Ni full kula keki ya wadanganyika.