Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Duuh π²π²Mwambie jaji kuwa hakuna tofauti yotote ile kati ya MATAGA na UVCCM kwakua wote ni vibaka wa lumumba[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ilikuaje, unaweza kutupa ABCβs maana kuna kundi la wenzao limetoka sijui wapi kuwatetea hawa mabwanaMimi moja lazima ama zake ama zangu na ikibidi hata kuuana kwa sumu itabidi nikishindwa njia zangu kumi na tano ambazo nimechambua na kuweka kifuani mwangu , sumu ni ya mwisho
Hao jamaa unakutana nao wapi mkuu?Huwa wanatembea kimakunduni ila baada ya kumzingua mwenzao wote wakaufyata
Hujui hata muhudumu wa canteen pia nae ni afisa katika idara yao?Afadhali umeongea, wanatia huruma sana kula kwa shida kulala kwa shida na wananuka madeni kupita kiasi. Mpaka unaishia kusema huyu ni ofisa kweli ama ni muhudumu wa canteen [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa hiyo UVCCM wote ni matapeli?!!! Khaaa π³π³π€£UVCCM pia na ninyi ni matapeli sana
[emoji23][emoji23][emoji23] nyie ni nyie. Sema mataga ni wa mwemdazake. Saa hizi nyie ni watoto wa kambo mataga. Mambo yenu mnasingizia upinzaniDuuh [emoji44][emoji44]
Mkuu miss Pablo mbona unatuchukia sana UVCCM?!!!
Kosa la wachache inakuwaje sote kuingizwa humo ?!!![emoji1787]
Isn't fallacy?!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sindo hao sasa wanajikutaga kitengo wakati ni umbea umbea tu. Nakuambia wale wenyewe walokula kiapo kutamka mimi ni nani ni ngumu mnoo. Hutokaa umsikie.UVCCM pia na ninyi ni matapeli sana
Siwachukii mkuu mbona tunaishi nao katika jamii zetu na hata chai tunakunywa nao kila siku, ishu hapa ni waache utapeli maana utapeli unawafanya wanakuwa easly blow out. Wabadilike na ikiwezekana kuwe na mifuko ya kuwafadhili ndani ya kitendo kuficha ufukara wao kwa watu.Hao jamaa unakutana nao wapi mkuu?
Itakuwa unawachukia sana hao jamaa duuh
Kuna UVCCM, kuna Mataga mfano Jumbe Brown na kuna wale wazee wa kaunda ambao ndio matapeli hasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sindo hao sasa wanajikutaga kitengo wakati ni umbea umbea tu. Nakuambia wale wenyewe walokula kiapo kutamka mimi ni nani ni ngumu mnoo. Hutokaa umsikie.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Duuuh mkuu unanionea....Kuna UVCCM, kuna Mataga mfano Jumbe Brown na kuna wale wazee wa kaunda ambao ndio matapeli hasa
Mpaka leo bado unaweweseka tu?Kuna UVCCM, kuna Mataga mfano Jumbe Brown na kuna wale wazee wa kaunda ambao ndio matapeli hasa
Nikuulize kitu....Siwachukii mkuu mbona tunaishi nao katika jamii zetu na hata chai tunakunywa nao kila siku, ishu hapa ni waache utapeli maana utapeli unawafanya wanakuwa easly blow out. Wabadilike na ikiwezekana kuwe na mifuko ya kuwafadhili ndani ya kitendo kuficha ufukara wao kwa watu.
Mwaka 2004 ulikuwa na umri gani mpaka leo uendelee kuwa Uvccm?Duuuh mkuu unanionea....
Neno MATAGA limeanza 2015....nilianza kuwa UVCCM mwaka 2004....unaniingizaje humo?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
Unataka kusema hao jamaa tusiowajua na unaowajua wewe pekee wote ni matapeli?!!!
Kwani hakuna baadhi ya madaktari/walimu/Polisi/wahasibu/wanajeshi MATAPELI?!!!
Mkuu ''isn't fallacy''?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
Mbona wahusika hawavaagi hata hayo makaunda majority tunaishi nao mraani? Hao kaunda ni wale informers tu... wenyewe walaaKuna UVCCM, kuna Mataga mfano Jumbe Brown na kuna wale wazee wa kaunda ambao ndio matapeli hasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka leo bado unaweweseka tu?
Angalia wanaume wanakula mema ya nchi saa hizi.
Hii inaitwa Hati ya mashtaka. [emoji1][emoji1]
View attachment 1961449
Ni kweli UVCCM ni mpaka 35....Mwaka 2004 ulikuwa na umri gani mpaka leo uendelee kuwa Uvccm?
Uvccm ni Youth wing ya ccm, je wewe upo under 35 years old? Au ndio mnakaba hadi penati?
Unafahamu aina ngapi za infomers na majukumu yao ni yapi hasa πππMbona wahusika hawavaagi hata hayo makaunda majority tunaishi nao mraani? Hao kaunda ni wale informers tu... wenyewe walaa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Leo nenda kidimbwi utawaona mara mara moja uwe unakimbia vijiwe vya kahawa utawaona tu wanalewa hovyo kwa fedha za mikopo.Nikuulize kitu....
Nimezaliwa mjini....nimekulia mjini....ninajichanganya sana mitaani....
Mbona sijawahi kuona mtu anajitambulisha kuwa anafanya kazi usemako?!!
Sijawahi kuona vilabuni wala vijiwe vya kahawa....
Mkuu hao unaowasema unawaonea mkoa gani nje ya Dar es salaam mwenzetu?!!!
Samahani tajiri wanawake wenye matako makubwa kama hayo huwa sivutiwii nao kabisaMpaka leo bado unaweweseka tu?
Angalia wanaume wanakula mema ya nchi saa hizi.
Hii inaitwa Hati ya mashtaka. [emoji1][emoji1]
View attachment 1961449