Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

Mimi moja lazima ama zake ama zangu na ikibidi hata kuuana kwa sumu itabidi nikishindwa njia zangu kumi na tano ambazo nimechambua na kuweka kifuani mwangu , sumu ni ya mwisho
Ilikuaje, unaweza kutupa ABC’s maana kuna kundi la wenzao limetoka sijui wapi kuwatetea hawa mabwana
 
Duuh 😲😲

Mkuu miss Pablo mbona unatuchukia sana UVCCM?!!!

Kosa la wachache inakuwaje sote kuingizwa humo ?!!!🤣

Isn't fallacy?!!!
UVCCM pia na ninyi ni matapeli sana
 
Afadhali umeongea, wanatia huruma sana kula kwa shida kulala kwa shida na wananuka madeni kupita kiasi. Mpaka unaishia kusema huyu ni ofisa kweli ama ni muhudumu wa canteen [emoji28][emoji28][emoji28]
Hujui hata muhudumu wa canteen pia nae ni afisa katika idara yao?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Duuh [emoji44][emoji44]

Mkuu miss Pablo mbona unatuchukia sana UVCCM?!!!

Kosa la wachache inakuwaje sote kuingizwa humo ?!!![emoji1787]

Isn't fallacy?!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] nyie ni nyie. Sema mataga ni wa mwemdazake. Saa hizi nyie ni watoto wa kambo mataga. Mambo yenu mnasingizia upinzani

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hao jamaa unakutana nao wapi mkuu?

Itakuwa unawachukia sana hao jamaa duuh
Siwachukii mkuu mbona tunaishi nao katika jamii zetu na hata chai tunakunywa nao kila siku, ishu hapa ni waache utapeli maana utapeli unawafanya wanakuwa easly blow out. Wabadilike na ikiwezekana kuwe na mifuko ya kuwafadhili ndani ya kitendo kuficha ufukara wao kwa watu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sindo hao sasa wanajikutaga kitengo wakati ni umbea umbea tu. Nakuambia wale wenyewe walokula kiapo kutamka mimi ni nani ni ngumu mnoo. Hutokaa umsikie.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kuna UVCCM, kuna Mataga mfano Jumbe Brown na kuna wale wazee wa kaunda ambao ndio matapeli hasa
 
Kuna UVCCM, kuna Mataga mfano Jumbe Brown na kuna wale wazee wa kaunda ambao ndio matapeli hasa
Duuuh mkuu unanionea....

Neno MATAGA limeanza 2015....nilianza kuwa UVCCM mwaka 2004....unaniingizaje humo?!!! 😳🤣🤣

Unataka kusema hao jamaa tusiowajua na unaowajua wewe pekee wote ni matapeli?!!!

Kwani hakuna baadhi ya madaktari/walimu/Polisi/wahasibu/wanajeshi MATAPELI?!!!

Mkuu ''isn't fallacy''?!! 😳🤣🤣
 
Kuna UVCCM, kuna Mataga mfano Jumbe Brown na kuna wale wazee wa kaunda ambao ndio matapeli hasa
Mpaka leo bado unaweweseka tu?

Angalia wanaume wanakula mema ya nchi saa hizi.

Hii inaitwa Hati ya mashtaka. [emoji1][emoji1]

FB_IMG_1633251538757.jpg
 
Siwachukii mkuu mbona tunaishi nao katika jamii zetu na hata chai tunakunywa nao kila siku, ishu hapa ni waache utapeli maana utapeli unawafanya wanakuwa easly blow out. Wabadilike na ikiwezekana kuwe na mifuko ya kuwafadhili ndani ya kitendo kuficha ufukara wao kwa watu.
Nikuulize kitu....

Nimezaliwa mjini....nimekulia mjini....ninajichanganya sana mitaani....

Mbona sijawahi kuona mtu anajitambulisha kuwa anafanya kazi usemako?!!

Sijawahi kuona vilabuni wala vijiwe vya kahawa....

Mkuu hao unaowasema unawaonea mkoa gani nje ya Dar es salaam mwenzetu?!!!
 
Duuuh mkuu unanionea....

Neno MATAGA limeanza 2015....nilianza kuwa UVCCM mwaka 2004....unaniingizaje humo?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Unataka kusema hao jamaa tusiowajua na unaowajua wewe pekee wote ni matapeli?!!!

Kwani hakuna baadhi ya madaktari/walimu/Polisi/wahasibu/wanajeshi MATAPELI?!!!

Mkuu ''isn't fallacy''?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
Mwaka 2004 ulikuwa na umri gani mpaka leo uendelee kuwa Uvccm?

Uvccm ni Youth wing ya ccm, je wewe upo under 35 years old? Au ndio mnakaba hadi penati?
 
Mwaka 2004 ulikuwa na umri gani mpaka leo uendelee kuwa Uvccm?

Uvccm ni Youth wing ya ccm, je wewe upo under 35 years old? Au ndio mnakaba hadi penati?
Ni kweli UVCCM ni mpaka 35....

Mkuu nimejumuisha na CHIPUKIZI kuanzia 14 wote hao ....
 
Nikuulize kitu....

Nimezaliwa mjini....nimekulia mjini....ninajichanganya sana mitaani....

Mbona sijawahi kuona mtu anajitambulisha kuwa anafanya kazi usemako?!!

Sijawahi kuona vilabuni wala vijiwe vya kahawa....

Mkuu hao unaowasema unawaonea mkoa gani nje ya Dar es salaam mwenzetu?!!!
Leo nenda kidimbwi utawaona mara mara moja uwe unakimbia vijiwe vya kahawa utawaona tu wanalewa hovyo kwa fedha za mikopo.
 
Back
Top Bottom