miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Mmezoea wanawake laini laini eh? Karibu kigumu master. MATAGA tu wamekutoa jasho sembuse TISS? Vijana wa mataga walivyo wa ovyo kwlei wakakupelekesha hivyo?[emoji23][emoji23] halaf unataka tudanganya uniform zao ni kaunda eti[emoji23]Nimeliona hilo na hawa wanachoreshwa sana saba nafahamu wengi tu, huwenda akawa ni mmoja wao [emoji28]
Nampanga ili aingie kwenye box mkuu[emoji23][emoji23] hana ngonjera za kunilainisha huyu. Mtu anayeandika mathread ya hivi awe na ngonjera? Kwanza mwanaume mgomvi wa kazi gani. Kama tu anatoka na mkewe na vinana wanaibuka hapohapo mimi mwanaume wa hivyo wa kazi gani? Na ukute wameona jamaa hana hadhi ya kumiliki hiko chombo[emoji23][emoji23] na lazima watamuundia tume tuHa ha ha ameshakulainisha tena ? [emoji1787]
Kapambaneni kudai katiba mpya, hilo siyo kosa la Tiss.
Mnataka mabadiliko huku mnaogopa kumwaga damu zenu nani alikudanganya mabadiriko yanapatikana bila sadaka ya damu?
🤣🤣Nampanga ili aingie kwenye box mkuu[emoji23][emoji23] hana ngonjera za kunilainisha huyu. Mtu anayeandika mathread ya hivi awe na ngonjera? Kwanza mwanaume mgomvi wa kazi gani. Kama tu anatoka na mkewe na vinana wanaibuka hapohapo mimi mwanaume wa hivyo wa kazi gani? Na ukute wameona jamaa hana hadhi ya kumiliki hiko chombo[emoji23][emoji23] na lazima watamuundia tume tu
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
😅😅😅 una shida sana Miss PabloSasa kumbe shida yangu ni ipi zaidi ya kupelekewa moto na hela zangu ninazo. Kama moto wako ni mkali nikuhonge[emoji23][emoji23] we mwenyewe kiserengeee ndo maana jamaa akamuibukia wife na pete zake za ndoa hapohapo ulipo ujue mjini kuna wanaume
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Tumechangamsha genge kidogo. Jamaa alikua na hasira tu. Si unaona hata mwandiko wake? He is so calm. Na ametoa dukuduku lake moyo safiii sasa hv. Imagine navyomtania hb wala hakasiriki zaidi ya kunibadilishia jinsia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
TISS hii hii ya hawa vijana wa hapo eagle acha hawa ma FO waliopo wilayani yaani choka mbaya sidhani hata wana ule ukakamavu tena.Mmezoea wanawake laini laini eh? Karibu kigumu master. MATAGA tu wamekutoa jasho sembuse TISS? Vijana wa mataga walivyo wa ovyo kwlei wakakupelekesha hivyo?[emoji23][emoji23] halaf unataka tudanganya uniform zao ni kaunda eti[emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kama nawanunulia bia nishindwe kulipa bill kweli, acha kuwapa chati hawa vijana ilihali unajua fika maisha yao yalivyo 😅Weweew[emoji23][emoji23] nani kakuambiaaa. Wewe vijana mbele ya macho yako wanakutawala uko hapohapo. Nyie kuna vijana wnaa dharau[emoji23][emoji23] ama ulishindwa lipa bill mkuu? Walikuhurumia usije osha vyombo.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
We baki na mawazo yako. Usisahau pia kila mtu anatofautiana kimajukumu na mwingine. Think deeper.TISS hii hii ya hawa vijana wa hapo eagle acha hawa ma FO waliopo wilayani yaani choka mbaya sidhani hata wana ule ukakamavu tena.
Shida zipo ila usitumie kigezo cha shida zako kuhalalisha utapeli kwa jamii, tunajenga watumishi wa namna gani? Wameshindwa kwenda kukopa kweli? 😅We baki na mawazo yako. Usisahau pia kila mtu anatofautiana kimajukumu na mwingine. Think deeper.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] hunaaaa heeelaaaaaa. Helaaa huunaaaaa...[emoji23][emoji23] bia zenyewe sh. Ngapi kwani. Wooii.. so far kijana kanifurahisha kwa confidence yake. Hio dharau inauma sana aisee... infront of ur eyes? To ur dearly wifey?[emoji23][emoji23][emoji23] kweli halali kutoa bastola. Ua tu next timeKama nawanunulia bia nishindwe kulipa bill kweli, acha kuwapa chati hawa vijana ilihali unajua fika maisha yao yalivyo [emoji28]
Umetapeliwa nini mkuu? Tuanzie hapo. Yaan mataga wakutapeli watoto wa mjini hsingizie kitengo. Hapana. Wewe uneleta case ya kubugudhiwa mkeo na si kutapeliwa. Ama nimekua msahaulifu kama wakili wa serikali?[emoji23][emoji23]Shida zipo ila usitumie kigezo cha shida zako kuhalalisha utapeli kwa jamii, tunajenga watumishi wa namna gani? Wameshindwa kwenda kukopa kweli? [emoji28]
Wapi nimesema nilitoa bastola kwa huyu niliyemzaba makosi, hiyo ni another scenario nitaileta hapa pia 😅[emoji23][emoji23] hunaaaa heeelaaaaaa. Helaaa huunaaaaa...[emoji23][emoji23] bia zenyewe sh. Ngapi kwani. Wooii.. so far kijana kanifurahisha kwa confidence yake. Hio dharau inauma sana aisee... infront of ur eyes? To ur dearly wifey?[emoji23][emoji23][emoji23] kweli halali kutoa bastola. Ua tu next time
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Haaha Taga ni wapuuzi tu mimi na dili na hawa vipepeo wavaa kaunda suti.Umetapeliwa nini mkuu? Tuanzie hapo. Yaan mataga wakutapeli watoto wa mjini hsingizie kitengo. Hapana. Wewe uneleta case ya kubugudhiwa mkeo na si kutapeliwa. Ama nimekua msahaulifu kama wakili wa serikali?[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hapa ndipo unapopotea son, sasa mtu ni daktari yeye ukakamavu wa nini?TISS hii hii ya hawa vijana wa hapo eagle acha hawa ma FO waliopo wilayani yaani choka mbaya sidhani hata wana ule ukakamavu tena.
Umesema kidogo utoe na bastola banaaa... ama jaji aingilie kati[emoji23]Wapi nimesema nilitoa bastola kwa huyu niliyemzaba makosi, hiyo ni another scenario nitaileta hapa pia [emoji28]
Kummaliza mtu hata kwa kipigo inawezekana, sio lazma bastolaUmesema kidogo utoe na bastola banaaa... ama jaji aingilie kati[emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Na kaunda suti zipo madukani zinauzwa kanunuwe uvae hukatazwi, na wala ile siyo uniform, raia yeyote yule ruksa kuvaa akipenda.Haaha Taga ni wapuuzi tu mimi na dili na hawa vipepeo wavaa kaunda suti.
Wewe case yako ni nyingine kabisa maana hata hao unaowataja wengi wameenda mafunzo, back to my topic mimi ni kwa hawa ma FO why ni legelegeHapa ndipo unapopotea son, sasa mtu ni daktari yeye ukakamavu wa nini?
Mtu ni muhasibu yeye ukakamavu wa nini?
Wanaopaswa kuwa wakakamavu ni walinzi wa viongozi na hawapo Eagle house wapo Makumbusho na wana kiuwanja lao likubwa tu la mazoezi mule ndani.
Tatizo lako wewe ni lilelile one size fit all.
Afisa wa field na afisa wa ofisini ni vitu viwili tofauti na majukumu yao ni tofauti sana, isitoshe hao maafisa wa field wana informers wao, usikute unaweweseka na informer tu ambaye anategemea kulipwa posho na Afisa rasmi wa idara.
Nimekupa hili kidogo udese maana unaweweseka sana.