Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

Haaha Taga ni wapuuzi tu mimi na dili na hawa vipepeo wavaa kaunda suti.
Aah weee, pale IFM nakuambia vijana kibao walikua wanavaa kaunda. Kumbuka ikulu iko pale. Vijana wa mataga walikua wanahangaikaaaa sanaaaa wanajifanya vipenyo. Nakuhakikishia vipenyo walioapa hata ID yake haweki kwenye wallet. Hao ni wajinga tu umekutana nao. Wangapi wanachonga id fake. Vipenyo wanava acasual kawaida tu. Halaf we unajua huwa wanafanya kazi gani labda? Maana ni kama umewaweka wore ni specialization moja. Hao mataga wajinga sana. Wana kaunda zao za dark blue za kutoshaaa[emoji28] na moka halaf mwendo fulan hv kama watu wa maanaaa kumbe[emoji706][emoji706][emoji706] vipenyo wametuliaaaaa na huwa mostly ni observers. Ni wachache wenye tabia zao za ovyo. Na kila mmoja anakuwa kutokan na uhitaji. Utakuja mpaka mameneja wa bar na hotel ni vipenyo ila hutojuaaaaa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Sijagusia vipenyo ila hata hao wanafahamika vizuri tu, na kuna mdau hapo juu kaenda mbali zaidi na kuwataja baadhi. ID gani inaweza kukaa kwenye wallet nidadavulie hapa? 😅
 
Nimekaa nikajiuliza sana kwanini watumishi wengi wa idara nyeti (wengi mtakuwa mmenisoma na maanisha nini), watu hawa ukiangalia kazi wanayofanya na maisha yao mtaani ni vitu viwili tofouti kabisa maana vijana hawa wamejawa na tamaa hadi kufikia kutapeli watu hovyo mtaani kwa kigezo cha kufanya kazi katika taasisi nyeti hiyo na bila aibu wamekuwa wakionesha vitambulisho vyao hovyo kwenye kumbi za starehe pindi wakilewa.

Swali langu kwa viongozi wa taasisi hii nyeti, Kama mtumishi wa idara hii anaweza kuwatapeli watanzania wenzake, je akikutana na watu wa nchi nyingine ambapo ilitokea akalambishwa dollar je mna uhakika gani mtu huyuhuyu ambaye anaweza kujianika mbele ya wahudumu wa baa kuwa hawezi kuuza siri za nchi kwa thamani ya vipande vya fedha?

Au taasisi hii nyeti inaruhusu watumishi wake kufanya dhuluma kwa watanzania kwa kigezo cha kufanya kazi huko?

Ombi, langu kwa taaisisi hii nyeti wajitahidi kuwaboreshea maisha watumishi wao kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizi maana vijana hawa hawa hawakawii kuuza siri za taifa hili kwa maadui kwa kigezo cha maslahi.
Alafu wanakuaga na sifa zakijinga hasa wakituona sisi wateja wapya kwanza wanataka sisi tuwajue wao ni kina nani wakiona mteja mpya umejaza meza wanaanza kukodoa macho wanakuja kuuliza nyie ni kinanani ***** sisi tumeshuka toka mbinguni
 
Wana ulimbukeni wa ajabu, huu upuuzi hukuwahi kuusikia enzi za Mzee Apson
 
Hapa ndipo unapopotea son, sasa mtu ni daktari yeye ukakamavu wa nini?

Mtu ni muhasibu yeye ukakamavu wa nini?

Wanaopaswa kuwa wakakamavu ni walinzi wa viongozi na hawapo Eagle house wapo Makumbusho na wana kiuwanja lao likubwa tu la mazoezi mule ndani.

Tatizo lako wewe ni lilelile one size fit all.

Afisa wa field na afisa wa ofisini ni vitu viwili tofauti na majukumu yao ni tofauti sana, isitoshe hao maafisa wa field wana informers wao, usikute unaweweseka na informer tu ambaye anategemea kulipwa posho na Afisa rasmi wa idara.

Nimekupa hili kidogo udese maana unaweweseka sana.
Asabteee. Umemaliza kila kitu. Informers ndo huwa viherehere. Na huwa watu hiwaconfuse sana hao. Wanavimbagaaa[emoji23][emoji23][emoji706] wakishapewa vihela vya mission ndo wanakujaga fanya vurugu bar. Umkute afisa kabisaa anafanya ujinga? Aah wapi. Anafikiri wote ni vipenyo na wanafanya same task. Yaani kwenye kila category ya kitu chochote hapa duniani basi na afisa yupo. Na wale askari hawatakagi ujingaa[emoji23] sema wana huruma sana . Its until uingie kwa 18 zao

Sasa informer hawa nao unawazungumzia 😂😂
 
Mke wangu si bar maid ila hata nature yao inasidiki hawatulii na familia zao muda wote wananusa nusa kutafuta wake za watu ila alichokipata atanikumbuka hadi atakapo staafu, pia waambie ma boss wenu wawaongezee mishahara muache kukopa hovyo na kutapeli watu mitaani
[emoji3516]
MKUU,
HAWAJAMFANYA CHOCHOTE CHA ZAIDI MKEO?

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Wewe case yako ni nyingine kabisa maana hata hao unaowataja wengi wameenda mafunzo, back to my topic mimi ni kwa hawa ma FO why ni legelege
Legelege ulipigana nao?[emoji23][emoji23] hivi hujui wako trained kuwa na nidham na kuw amfano kwa jamii? Unafikiri ni akina kingai hawa? Self discipline ndo wanachofundishwa. Popote pale. Kwakua wanapuuzia mambo ndo unawachukulia poa? Siku watakufix ndo utajua hujui. Halaf usisahau kuna kila kitengo ndani yake. Unataka daktari ama muhasibu ndo afanye torture kwa mlengwa wao? Hapana.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ukiona manyoya ujuwe keshaliwa, kumbe tunasumbuka bure hapa, Jamaa ni victim.

Niliona mweeeh[emoji23][emoji23] ila sikutaka kwenda kuoga hapo. Nineepuka chaos. Mkewe mwingi. Ndo maana vijana waliweza dinda na mkewe mbele ya uso wake[emoji119][emoji119][emoji119] trust me, this man is humbled mkuu na mpole. Mkewe ndo hajiheshim. Mstaarabu snaa. Nadhan hizi hasira amevumilia tu mengi. Ola he is a good man. Mataga wajinga sana. Mke ajiheshim kama vipi aachwe. Ajue si wote tuko hivyo. Ama kuna mahali anakosea. Mke lazima ndo aliweka mazingira ya kusogelewa. Very bad. Sina tatizo naye kbs.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Sijagusia vipenyo ila hata hao wanafahamika vizuri tu, na kuna mdau hapo juu kaenda mbali zaidi na kuwataja baadhi. ID gani inaweza kukaa kwenye wallet nidadavulie hapa? [emoji28]
Yes, wapo na wanajulikana kuotkana na ukaribu uliopo. Ila asilan akutamkie yeye ni afisa akiwa anakuvimbia? Hapana. Nakukatalia hilo. Niamini mm. Kwanza wanaepuka sana shari coz wanaamini pia anyone can be one of them. Kwann ajitafutie matatizo. Hao ni informers tu u.ekumbana nao

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Alafu wanakuaga na sifa zakijinga hasa wakituona sisi wateja wapya kwanza wanataka sisi tuwajue wao ni kina nani wakiona mteja mpya umejaza meza wanaanza kukodoa macho wanakuja kuuliza nyie ni kinanani ***** sisi tumeshuka toka mbinguni
Aaah mkuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] nimechekaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] na mwanaume wa kweli hajazi meza. Niulize zaidi. Ila nimechekaaa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Sio vocha wana bills za madeni huko kwenye ma bar na et al, pia huku mtaani vizinga vya 50k na kuendelea nilichogundua mishahara yao ni ya kawaida sana ukijumilisha na posho hivyo wanakuwa na tamaa za ajabu huku mtaani
Mkuu una vitu personal nao? Isije kuwa hakuishia kumtongoza ila alimla kabisa shemeji yetu

Unaonekana una la rohoni kweli kweli
 
Niliona mweeeh[emoji23][emoji23] ila sikutaka kwenda kuoga hapo. Nineepuka chaos. Mkewe mwingi. Ndo maana vijana waliweza dinda na mkewe mbele ya uso wake[emoji119][emoji119][emoji119] trust me, this man is humbled mkuu na mpole. Mkewe ndo hajiheshim. Mstaarabu snaa. Nadhan hizi hasira amevumilia tu mengi. Ola he is a good man. Mataga wajinga sana. Mke ajiheshim kama vipi aachwe. Ajue si wote tuko hivyo. Ama kuna mahali anakosea. Mke lazima ndo aliweka mazingira ya kusogelewa. Very bad. Sina tatizo naye kbs.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Unabadili gia eeh 😅😅 njoo PM
 
[emoji23][emoji23] naamini pia. Hawa jamaa wanapitaga kweli na mabinti. Halaf hata wake zao wanaotaka waoa hufanyiwa vetting. Sasa sijui ilikuaje. Na hufunga ndoa kimya kimya. Saa zingine wanapataga laana za mabinti sana.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Harusi zinafungwa kimyakimya 😅😅😅
 
Back
Top Bottom