Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
CCM ni BAHARI ....Hapana mkuu, nawachukia kwakua wanaturudisha nyuma. Wako.UVCCM wanajielewa sana. Hawapendi ujinga. Ila mataga wako kimaslahi zaidi
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ndani yake ina kila aina ya watu.....kila aina ya hulka...
WEMA / WAZURI /WENYE ADABU HESHIMA NA MAADILI WAKO WENGI TU mkuu wangu....