Kwanini watusi wanataka kutambuliwa Tanzania?

Kwanini watusi wanataka kutambuliwa Tanzania?

Nadhani tumechelewa CDF kaongea juzi kaona hata huko kwao wamejaa wao na ukiona kaamua kuongea hadharani ujue pana upinzani mkubwa wanapata wanapotaka kuchukua maamuzi wenyewe...
Nakumbuka kuna kipindi Mobeyo alimwambia rais kuna kitu ntakuambia tukiwa wawili, nadhani ni hili aliloongea CDF juzi adharani, itakua mobeyo alipuuzwa
 
Nakumbuka kuna kipindi Mobeyo alimwambia rais kuna kitu ntakuambia tukiwa wawili, nadhani ni hili aliloongea CDF juzi adharani, itakua mobeyo alipuuzwa
Inawezekana Mkuu sema mimi najua haya muda sana maana ukiona mapendekezo ya kodi tu unajua haya sio ya Raia haya yaani gari aina ya ist eti inauzwa Tsh 17m sasa hivi na wao wanaona sawa kwa sababu ya kupandisha kodi hovyo bila kujali maisha ya Watanzania harafu wabongo wanaminyana kwenye bajaji za Tsh 8.5m daah...
 
Back
Top Bottom